Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Ishinde ili iweje, watapata kipigo cha mbwa koko.Taifa Stars Inashinda
Acha ujinga toa maoni kama huna funga mdomo, hii sio instagram!!!Siti ya mbele kwa dereva
Chadema inahusika Vp mkuu?!Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Thubutu, kwa taarifa yako tu hakuna kipindi nchi hii ina maafisa Wa shirikisho la mpira Wa miguu Africa na duniani kama kipindi hiki cha kuelekea mechi ya Mazuzu Fc Vs Uganda.Nasikitika kuwa uganda wanaweza wakacheza kisembe kwakuwa wao ata wakifungwa sio shida coz wameshafuzu tayar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanya tu diplomacy tumefungiwa [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]
huyu mbwa bashite kasha tugawa hakubalikiBinafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Binafsi sikupenda huyo jamaa ashiriki kwenye haya mambo kabisa. Naona inanikera kidogo. Ingawa nilipenda Timu yetu ifanikiwe.Tuiombee tu timu yetu ya Taifa ishinde na kufuzu hiyo afcon. Ingawa natambua huo ushindi iwapo utapatikana, tutaambiwa ni kwa sababu ya mafanikio ya mtu fulani pasipo kuwapa heshima wanaostahili (wachezaji na benchi la ufundi). Kila kitu tunatanguliza siasa tu na siyo uzalendo.
Niwe muwazi tu mapema......Mimi nashabikia Uganda, Naomba uganda ipige Tz 3-0, ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani TFF ni kichefuchefu kisicho na dawa.Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Kumbe wakati mwingine hua uko sawa eh ?!. AnywayNilipoona akina Wema na Steve nikajua huu ni upuuzi.....
Rais ni raia namba moja, taswira ya nchi, mkuu wa dola na serikali, unataka asifiwe nani? Hakuna mbadala wa rais. Ingekuwa tunao marais zaidi ya mmoja, basi tungemuhoji Makonda, "kwanini unamsifia mmoja wengine husifii?" Kwahiyo kuwa mpole akiingia wa kwako naye tutasifia.Heshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Teh teh teh hapo Poopoo Mbili hazivuki mtoTuko wote, pamoja na makonda kutia najisi naomba Taifa stars ishinde vile vile naiombea Lesotho ishinde.
Aliongea Bashite haya mambo,na Bia gani hizo au zile Serengeti zilizoisha muda?
Hawa watu wapuuzi sana na nashangaa Moderators wanawaachia waendeleze huu upuuzi wao.Acha ujinga toa maoni kama huna funga mdomo, hii sio instagram!!!