Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Hata wakipanga na kumfunga Uganda goas 10 haitakuwa na maana iwapo timu yangu Lesotho ikishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapili,kama kawaida ...Uganda lazima wabane ...hatutaki Siasa za Kijinga! Hata tukishinda ,Lethoto nao watakushinda!
Hatuwezi kuendelea kuongozwa na ujinga!
 
Nimeshangaa jana tbc taifa wanaojiita wazee wa ukweli na uhakika wanaonyesha wimbo wa magufuli jembe wa mbasha, hasa nikabaki najiuliza hii ni channel ya taifa au ccm, mambo ya kutokua fair haki na usawa ndio dhambi zinazotutafuna watanzania hata siku moja hatuwezi kufanikiwa, na tufungwe tu kama vipi maana kuna vitu nchi hii vinakera mpaka basi

Wote wanaosema tuwe wazalendo ndio wenye maisha mazuri na nafasi zao, na siku zote juhudi hazizidi uwezo wacha tupigwe tu iwe fundisho

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Chini ya bashboy na dingi ake, hakuna kinachoshindikana mkuu. Nan angeweza kuamin kuwa kijana ya arumenga inaweza ikafika bei na kupokea faranga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda piga hao wauza sura 5-0
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wala usipate shida sana...
Tanzania kuishinda Uganda itakuwa bahati sana..
Tulipokuwa na nafasi nyingi za wazi kocha na viongozi wa TFF waliingiza usimba na uyanga mpaka timu ikapoteza dira na mwelekeo wake..!!
Eti leo ndo tunakuja na mapambio ya akina wema sepetu, bashite, jb et al kuhamasisha ushindi..
Sidhani kama Uganda watakubali kufungwa kirahisi ili sisi tupate nafasi..!

Tanzania ni nchi yangu.. Lakini ujinga sipendi!!

NB: Tumeshinda 3-0 lakini next time tusichezee shilingi chooni!!
 
Mtu wa kufoji foji ndivyo alivyo. Yeye kete yake kubwa ni wasanii. Mara awaite waende kuangalia SGR safari hii tena kwenye kushangilia. Huyu mtu si wa kuaminika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu naona tu ile Bashite kuwa Kiongozi wa Uhamasishaji kwa Timu ya Taifa tayari ni NAJISI kwa hii timu..

Hakuna lolote la Maendeleo lililowahi kusimamiwa na huyu jamaa limewahi kufanikiwa labda mambo ya kishezishenzi kama utekaji nk nk.
Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Kichwa cha Mwendawazimu lazima kinyolewe
mimi ni mtanzania ila jumapili ntashabikia Uganda siwezi kuhamasishwa kuishangilia taifa staz na kina bashite na lumumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu kabisa bashite na hilo litimu lao la taifa naomba lifungwe...
Naombea Taifa stars ifungwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Niwe muwazi tu mapema......Mimi nashabikia Uganda, Naomba uganda ipige Tz 3-0, ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dahhhhh...... Noma..
 
Kuna kiongozi mmoja nasikia kasema ushindi wa Simba ni utekelezaji wa ilani ya chama chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…