Uchaguzi 2020 Angalizo: Membe ni hatari kwa upinzani kuliko alivyokuwa Lowassa

Uchaguzi 2020 Angalizo: Membe ni hatari kwa upinzani kuliko alivyokuwa Lowassa

Membe kawagawa CDM kabla hata hajawa Mwana CDM, sembuse akifanya maamuzi rasmi ya kujiunga na CDM, anakivisha sanda na kukifukia kabisa., bora ya Lowassa. Membe nenda ACT, CDM iendelee kua mpinzani.
 
Back
Top Bottom