kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire!
Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba. Nimeshangaa sana! Mtoto anadiriki kumwambia baba yake: "Aaa baba, na wewe umezidi ulevi, lazima tukuambie ukweli..........."Mbele ya mama yake, na mama kimyaa wala hakomment chochote!(ina maana anaunga mkono hoja).
Jiangalieni wanaume, itafika kipindi mnalambwa makofi mbele za wake zenu.