kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Tatizo la kufuga midume yenye ndevu. Mtoto akishafikisha umri wa serikali afukuzwe nyumbani akajitafutie maisha.Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire!
Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba...
Helmet ya shingo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hvo baba hata huku nimekufata.....
Nakwambia tena na tena mpaka hio helmeti yako ya shingo ielewe tumeuchoka ulevi wako[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
Kaka mmoja alikuwa anakojolea biashara za mkewe' akitoka ulevini anasema ndio zinamfanya azurure anatafuta mabwana. Nyumbani haachi hata Mia.Kama anamyang'anya mama hela zake baada ya kuuza ndizi basi hiyo sawa mtoto anaweza kumuonya Mzee kupunguza kinywaji ; lakini kama anakunywa kangala kwa hela yake mwenyewe baada ya kubeba zege, hiyo haikubaliki!!