Angalizo: Nilazima kuita jina la mjumbe mmoja mmoja kuhakiki wajumbe kabla ya kupiga kura uchaguzi wa CHADEMA

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.

Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMAwa uchaguzi wa Mwenyekiti.

Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani zikichezewa kamari upande wa mgombea mmoja wapo wa CHADEMA , ila bado nimeona machozi kwa mgombea huyu kwa kushindwa vibaya.

Nawataka CHADEMA, kuscan wajumbe wote kabla ya kupiga kura kwa kuita mjumbe mmoja mmoja kwa jina kila mkoa kabla ya kupiga kura .

Mbowe Mungu anakuonya kwa sauti kuu, shinda kialali utabarikiwa, ila kama zipo njama za kipumbavu icho kiti hutokikalia hata ukilazimisha .

Thanks
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo uchaguzi wa chama tu unashindwa kulienzi neno Demokrasia
😀😀😀
 
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.

Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa chadema wa uchaguzi wa Mwenyekiti.

Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani zikichezewa kamari upande wa mgombea mmoja wapo wa Chadema , ila bado nimeona machozi kwa mgombea huyu kwa kushindwa vibaya.

Nawataka chadema , kuscan wajumbe wote kabla ya kupiga kura kwa kuita mjumbe mmoja mmoja kwa jina kila mkoa kabla ya kupiga kura .

Ajifunze kwa yule dhalim aliyevuruga uchaguzi 2020 hasira ya Mungu ilivyomsambaratisha.
 
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.

Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa chadema wa uchaguzi wa Mwenyekiti.

Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani zikichezewa kamari upande wa mgombea mmoja wapo wa Chadema , ila bado nimeona machozi kwa mgombea huyu kwa kushindwa vibaya.

Nawataka chadema , kuscan wajumbe wote kabla ya kupiga kura kwa kuita mjumbe mmoja mmoja kwa jina kila mkoa kabla ya kupiga kura .

Mbowe Mungu anakuonya kwa sauti kuu, shinda kialali utabarikiwa, ila kama zipo njama za kipumbavu icho kiti hutokikalia hata ukilazimisha .

Thanks
Ongeeji yote ila Lisu anaenda kubwagwa kwenye huu uchaguzi
 
Hapa namuangalia kwenye mahojiano LIVE Clouds anaahidi uchaguzi huru na haki, ngoja tuone.
 
Mbowe hana shida
Mpenda kushinda ushindi wa mezani ni Lisu ndio maana kampeni na timu yake ni kutaka toka mwanzo Mbowe go aondoke amwachie ushindi wa mezani Lisu
 
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.

Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa chadema wa uchaguzi wa Mwenyekiti.

Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani zikichezewa kamari upande wa mgombea mmoja wapo wa Chadema , ila bado nimeona machozi kwa mgombea huyu kwa kushindwa vibaya.

Nawataka chadema , kuscan wajumbe wote kabla ya kupiga kura kwa kuita mjumbe mmoja mmoja kwa jina kila mkoa kabla ya kupiga kura .

Mbowe Mungu anakuonya kwa sauti kuu, shinda kialali utabarikiwa, ila kama zipo njama za kipumbavu icho kiti hutokikalia hata ukilazimisha .

Thanks
🚮
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo uchaguzi wa chama tu unashindwa kulienzi neno Demokrasia
😀😀😀
Yaani nyie demokrasia ni pale Mbowe angesema hagombei tena ili Tundu Lissu apite bila kupingwa? Tuache upumbavu aisee!
 
Back
Top Bottom