4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani.
Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMAwa uchaguzi wa Mwenyekiti.
Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani zikichezewa kamari upande wa mgombea mmoja wapo wa CHADEMA , ila bado nimeona machozi kwa mgombea huyu kwa kushindwa vibaya.
Nawataka CHADEMA, kuscan wajumbe wote kabla ya kupiga kura kwa kuita mjumbe mmoja mmoja kwa jina kila mkoa kabla ya kupiga kura .
Mbowe Mungu anakuonya kwa sauti kuu, shinda kialali utabarikiwa, ila kama zipo njama za kipumbavu icho kiti hutokikalia hata ukilazimisha .
Thanks