Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Watu wamepiga kelele kuhusu madhara ya kuchezea UVINZA FC, lakini hatujaacha kabisa na team inazidi kupaa juu,
Hivi tutakuelewa kweli kuhusu kuacha Style ya mbwa!?
Watu kibao wanaumwa Tezi Dume tang 2005 mpaka sasa
Watu kibao nchini kwako wanaumwa Kansa ya Koo na shingo
Msiba usikie kqa jirani yako
Yajayo yanafurahisha upo tayari?!
 
Za j2
Bwana Yesu Asifiwe Sana Wapendwa?!

Nadhani mtakuwa mmesikia kwemye Tv, Redio, Youtube au mmesoma kwenye Mitandao yote kuwa style ya Mbwa au Doggy Style inaleta Kansa name presha ya kupanda

Ndio uchunguzi umefanyika miaka 3 iliopita kuwa staili ya Mbwa inaleta Kansa kwasababu:

1. Mwanamke anapoinama vishipa vya miguu upande wa nyuma vinakazwa.. sasa ukianza kupampu unavipa kazi mara 2

2. Mwanaume anatumic nguvu nyingi kupampu kwahiyo inamfanya kuhema na mapigo ya moyo kupiga kupita kiasi

Kwahiyo Punguzeni Staili ya Mbwa jamaa muokoke na magonjwa ya Kansa na Presha

Ni hayo tu kwa leo: maelezo zaidi yako kwenye video


nitakuwa na kansa tayari

mahondaw Smart911 lara 1 Money Talk Ngosha Mashine Daby mpoo?!
 
Hiyo style nimeitumia Kwa zaid ya Miaka 40 Na sina Kansa wala Wake zangu hakuna Mwenye Kansa!

Tafiti zingine Ni Matokeo ya bhangi Na mihadarati
Tunakusubiri UKanyage 55 tukusikie
Naomba Kwanzaa ukapime mapema kujua
 

Attachments

  • Screenshot_2018-05-14-00-34-45-1.png
    Screenshot_2018-05-14-00-34-45-1.png
    306.3 KB · Views: 73
Back
Top Bottom