Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Angalizo: Style ya Mbwa 'doggy style' yadaiwa kusababisha Kansa na Presha

Mkuu Money Penny usiwe unalitumia hili jina BWANA katika "threads" zako za ngono. Hili jina lina maana kubwa sana kwetu sisi na wengine wote wanaoelewa maana yake. Jitahidi uwe na heshima juu ya jina hili. Hili jina YESU KRISTO ni jina, juu ya majina yote, ni jina ambalo ukilitaja linaokoa na kuponya. Lipe heshima yake tafadhali.
Yesu huyo alisema zaeni Mkaongezeke
 
Hata mie naweza weka picha ya waziri wa afya ummy mwalimu nikaweka maneno "upigaji wa katerero unasababisha tezi dume" waziri wa afya wa tanzania aonya.tafiti za kisayansi zina taratibu zake,epuka kuamini kila unalosoma mitandaoni,eti kwa sababu umeambiwa flani kasema,pendelea kutafuta proof.
Ndio hio nimekupa
 
Back
Top Bottom