wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
kumbe utanganyika ubara ndio unawatesa kweli sukuma gang amfai kupewa uwongozi tena .Mbona yule mzee alikuwa anafanya yake chato huku hoji .ubaya huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mnyaki wa kumasai.
Sijawahi kuona mijitu mibaguzi kama sisi wa Bara.
Mnajua ni haki ngapi za mgawo wa kiitifaki Zanzibar wamedhulumiwa?
Kama ni kuimarisha Muungano kuna tatizo gani tukiwa na miradi ya kimkakati kuongeza makusanyo ya serikali? Au mnataka kuvitawala visiwa vile kwa kuhakikisha wanakuwa maskini wa kutupwa?
Acheni gubu, wivu na uvivu
Tunatoa angalizo!hatubagui mtu!! Ndugai alikurupuka unadhani?takwimu za deni ni za uongo??!!! The State wapo watatusaidia!!!75% umetimia , kipande Cha utabili kilichobaki 25% mmh ni kigumu.ngoja tune,upinzani hawa hawa tunaowajua mbona yatakuwa maajqbu makubwa et[emoji848][emoji848].labda kuwe na mtu ambaye bado hajajiweka wazi anahamia upinzani!
Acheni uzushi wa kijinga...Tunatoa angalizo!hatubagui mtu!! Ndugai alikurupuka unadhani?takwimu za deni ni za uongo??!!! The State wapo watatusaidia!!!
Sawa andamana tukuvunje uti wa mgongo ukawe ombaomba pale clock towerMama kaanza kufanya mambo ya mwendazake, anachuma mihela hazina anaenda kujenga kwao, KWA hila hii haikubaliki
Hoja kuwa hojaAnaeQukaza akupatii kabisa,we inatakiwa usokomezwe jiti ndio ufike kile"leni uinjoy moto
Atubariki na sisi waja wake!!Mungu ibariki Tanzania🤲🤲
Sukuma gang mnashida sana! Baada ya kuona kete yenu ya miradi haimaliziki imepuuzwa ana kufa kifo cha Mende eti saivi mnakuja na ramli zenu kuwa Mama anapendelea Zanzibar!Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar wakati bado kuna miradi mikubwa ya bara kama stiglers na Bwawa la umeme haijakamilika Hadi sasa.
Inawezekana kabisa serekali ya Mama haina uhakika wa kuendelea tena kuwepo madarakani hapo 2025 ndio maana kaamua kutumia turufu ya uraisi wake kukopa mikopo mikubwa ili ajenge kwao Bila kujali madhara ya mikopo hiyo kwa Taifa letu.
Historia haidanganyi Ethiopia iliwahi kukopa mikopo mikubwa Kama hii tena kwa pupa kama tunavofanya hapa kwetu matokeo yake ni kibano kwa raia wake kwa zigo la kodi lisilobebeka hadi ikafikia hatua nchi haikaliki hadi sasa!
Wananchi wamekua wakimbizi wa Kodi na ugumu wa maisha!! Hilo ni onyo kwetu kama hali ikiendelea kuwa hivi basi tunaenda shimoni
The state Kuna haja ya kutumia mamlaka yenu kwa serekali iliyopo kabla mambo hayajaharibika!!mkikaa kimya na kuendelea kuwachekea Hawa viongozi na chama chao mkasahau viapo vyenu mjue mtalaumiwa baadae na wananchi!
Viashiria vyote vinaonyesha kabisa kia kuna hofu ya kukimbizana na muda wa madaraka kwa Mama ,ndio maana anakopa kwa fujo ili atimize matamanio yake kwa muda mfupi.
Kama mnamacho na masikio basi fanyeni Jambo mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi!!!
Hv ninyi mmetokana na zinaa ety? Hv unajua bajeti ya znz ni kiasi gan? Alafu njoo na hyo trillion Tano uone ni bajeti ya miaka mingapi kwa Zanzibar.Kelele zimeanza kusikika mapema kabisa kuhusu deni la Taifa! Hadi sasa ndani ya miezi michache ya Mama tena tisa tu tayari trillion 10 na zaidi ya nusu ya mkopo huo ukielekea visiwani Zanzibar wakati bado kuna miradi mikubwa ya bara kama stiglers na Bwawa la umeme haijakamilika Hadi sasa.
Inawezekana kabisa serekali ya Mama haina uhakika wa kuendelea tena kuwepo madarakani hapo 2025 ndio maana kaamua kutumia turufu ya uraisi wake kukopa mikopo mikubwa ili ajenge kwao Bila kujali madhara ya mikopo hiyo kwa Taifa letu.
Historia haidanganyi Ethiopia iliwahi kukopa mikopo mikubwa Kama hii tena kwa pupa kama tunavofanya hapa kwetu matokeo yake ni kibano kwa raia wake kwa zigo la kodi lisilobebeka hadi ikafikia hatua nchi haikaliki hadi sasa!
Wananchi wamekua wakimbizi wa Kodi na ugumu wa maisha!! Hilo ni onyo kwetu kama hali ikiendelea kuwa hivi basi tunaenda shimoni
The state Kuna haja ya kutumia mamlaka yenu kwa serekali iliyopo kabla mambo hayajaharibika!!mkikaa kimya na kuendelea kuwachekea Hawa viongozi na chama chao mkasahau viapo vyenu mjue mtalaumiwa baadae na wananchi!
Viashiria vyote vinaonyesha kabisa kia kuna hofu ya kukimbizana na muda wa madaraka kwa Mama ,ndio maana anakopa kwa fujo ili atimize matamanio yake kwa muda mfupi.
Kama mnamacho na masikio basi fanyeni Jambo mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi!!!
Hawa watu wameshikwa pabaya yan uwanja ujengwe kwa trillioni Moja kweli?[emoji23][emoji1787]kama sio uzao wa laana kiwe nnUwanja wa trilioni moja? Hata kama ni kumpiga vita hilo hatukatai, lakini hiyo vita iwe na justification ya maana basi.
Kwani bado tunatawaliwa na jiwe?Hivi unaongelea deep state ya nchi gani?
Hapa kwetu wamejazwa vijana wa hovyo ambao wengi wao wana unasaba na hawa hawa viongozi.
Nchi hii tumepigwa na kitu kizito akilini
Huyo shetani wala usimtaje taje. Hatutaki kumsikia kabisaKwani bado tunatawaliwa na jiwe?
Si mama yenu kipenzi yuko vizuri sana au?
Hiyo inaitwa ndani ntiti nje ntiti.....Hivi unaongelea deep state ya nchi gani?
Hapa kwetu wamejazwa vijana wa hovyo ambao wengi wao wana unasaba na hawa hawa viongozi.
Nchi hii tumepigwa na kitu kizito akilini
Kwani tuliuomba huo muungano,hatuutaki,wanaoforce ni watawalaMimi ni mnyaki wa kumasai.
Sijawahi kuona mijitu mibaguzi kama sisi wa Bara.
Mnajua ni haki ngapi za mgawo wa kiitifaki Zanzibar wamedhulumiwa?
Kama ni kuimarisha Muungano kuna tatizo gani tukiwa na miradi ya kimkakati kuongeza makusanyo ya serikali? Au mnataka kuvitawala visiwa vile kwa kuhakikisha wanakuwa maskini wa kutupwa?
Acheni gubu, wivu na uvivu
Tanzania unadhani tunayo hiyo THE STATE?Tunatoa angalizo!hatubagui mtu!! Ndugai alikurupuka unadhani?takwimu za deni ni za uongo??!!! The State wapo watatusaidia!!!