Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Nini kifanyikeJibu ni rahisi sana.. Hawana huo uwezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kifanyikeJibu ni rahisi sana.. Hawana huo uwezo
Eti akina lusinde ndio wabunge tegemeziKuna mbunge yeyote mwenye uelewa wa mikataba na Sheria za Nchi hii kwa Sasa bungeni?
Kama Rais anakosa mtu wa kumteua kuwa Waziri bungeni ije iwe kupata wabunge wa kutengeneza Sheria na mikataba
Tunaenda kupigwa Kama kwenye Gesi.
Kwasasa hakuna kwakuwa bunge haliwezi kuvunjwa.. Sana sana tuwekeze nguvu zetu kwenye katiba mpyaNini kifanyike
Watawala hawapendi kusikia mijadala ya kitaifainategemea 70% ya wabunge wako bungeni kwa sababu zipi....naamini kwa sasa kina wabunge 30% wanaojielewa lakini pia nao 20% akili zao wanazitumia kujipigia na hiyo 10% ndio angalau inaweza kuwa na uchungu na nchi...
Kwasasa hakuna kwakuwa bunge haliwezi kuvunjwa.. Sana sana tuwekeze nguvu zetu kwenye katiba mpya
Haaa! umenikumbusha neo hili ' a figure head' zamani tulikuwa tunasema amekaa km buwaNipo hapa tayari naunga mkono hoja japo hapo kwenye bunge kuna walakini kwakuwa unatambua kwa hakika tuna bunge la ajna gani.. My apology kwa hili nitakalolisema kwamba hatuna wabunge wenye uwezo wa kuchambua chochote kitakachochomekewa kwenye hayo mabadiliko!