Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Hio inaitwa strategic location/placement. Fursa ifuate usiingojee strategy, mchana they are normal people ucku ni multidisciplinary sales individuals.Mimi kunaduka nilikuwa nanunua gas..sasa chenj ilibaki kama 3000..wakati waduka ananiletea nimdada..nahuyo wa ki pub nae anatoka anasema hiyo chenj nipe mimi nilimwangalia basi karudia nakurudia mikausho kama yoote..simfahamu hanifahamu..
Naendelea kujifunza, ila kwa sasa mahusiano ya kidiplomasia nimeyavunja kabisa kati yangu na vi-pub uchwara hivi.
Lakini kwa hasara za jana usiku lazima atalipia mbwa yule, yaani Mimi katibu mzima wa kutokwenda jumuiya leo kwasababu ya mawazo ya kuchunwa bila idhini yanga kweli?
Basi utailipa hyo, otherwise ungepiga tukio ukatuletea mrejeshoNaandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.
Aisee kuna hivi vi-pub ushenzi vimemiminika kila baada ya mlango mmoja wa flem, yaani ni mwendo wa duka la nguo, pub, duka la chakula pub... Hivyo hivyo kwa nguvu ya 5G hadi hatulali na pesa siku hizi.
Sasa basi wamiliki wengi wa vi-pub hivi ni either ma barmaid wastaafu au mastistaduu waliokubuhuu kwenye shughuli za uchunaji, leo basi si nimejifanya kuwatoloka wana ukoo, nikasema ngoja nijichimbie hapo kijiwe nongwa jicho moja, mguu na meza upande duka la nguo upande salon ya kike, aisee kumbe mchezo wao sio wa kitoto yaani ukiagiza yako moja na yeye anachukua yake moja, ukinywa ya pili na yeye anakunywa nyingine Sasa nimeshtuka hapa nimeacha kumchekea chekea nataka anieleze hii bili ni yangu au yake maana sikumpa go ahead ya kujihudumia mwenyewe.
Kama mtaona kimya sana kesho mjue nitakuwa nimeungana na ndugu Sabaya, maana nataka nifanye ambush ya viwango vya Mwamposa hapa Pabun.
Kwahyo ukatoa ulivyo boya ?Mimi kunaduka nilikuwa nanunua gas..sasa chenj ilibaki kama 3000..wakati waduka ananiletea nimdada..nahuyo wa ki pub nae anatoka anasema hiyo chenj nipe mimi nilimwangalia basi karudia nakurudia mikausho kama yoote..simfahamu hanifahamu..
aisee hii hatari Sasa anajihudumia kwa bili yako๐๐๐๐๐คฃNaandika ujumbe huu nikiwa na loss ya Kama 50k+ hivi.