ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi

ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi

Ukiona ndugu yako anaondoka na polisi itaneni muwe hata wa 4 au zaidi kuhakikisha anafika salama na hali ya afya yake mliyomuacha nayo na kuyajua majina ya polisi na vitambulisho vyao vya kazi msikubali waondoke nao peke yao itakula kwenu.
Hili kiuhalisia ni gumu maana polisi wanakuwa na silaha za moto, na wanatekeleza mambo kwa shuruti.
Mfano, mwenzako kakamatwa Tegeta wewe ukiwepo, wenzio wapo Posta na Kkoo, ukiwaita waje, wakamataji watakubali kusubiri? Wakikataa utafanya nini?
 
Kama watu wanachukuliwa na wanaosemekana ni polisi na baada muda fulani wanauwakikatili inafikirisha sana.
 
Hawa polisi wasipo jiangalia tutakuja kugawana majengo ya serikali japo na wao serikali. Kwa hali iendavyo siku sio nyingi kuna polisi atalia kwa hali kama hizi
 
Hawa polisi wasipo jiangalia tutakuja kugawana majengo ya serikali japo na wao serikali. Kwa hali iendavyo siku sio nyingi kuna polisi atalia kwa hali kama hizi
kuna siku raia utasikia wamewakanda polisi mkuu hadi sasa hv ushainekana polisi ni kichaka cha uhuni
 
Back
Top Bottom