Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

Angalizo: Usitaje jina lako halisi kwa Madanga ya Morogoro mjini

Yule jamaa alileta ushahid in elfu 3 pisi wa hapo nyumba ya mawe na itigi opposite na msavu au ndo tozo zimepanda
 
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...
Hakuna ulozi wowote iyo ni saikolojia tu.
 
Hivi mzabzab , haya si ndo maeneo yako mkuu wa uchakataji mbususu? Mpaka sasa hivo sijaona kabosa ukitia neno juu ya suala hili.
Itapendeza kama ukija kurasimisha claim hizi na kutoa mtazamo wako juu ya jinsi ya kuwahandle
 
Yule jamaa alileta ushahid in elfu 3 pisi wa hapo nyumba ya mawe na itigi opposite na msavu au ndo tozo zimepanda
Muonekano na huduma ni tofauti. Samaki samaki wale wanaosimama nje show time utaambiwa 10k. Waliomo ndani ya club kumtoa wengi wanaanziaga 20k kwenda juu. Au hapo msamvu kuna club inaitwa star park ukienda mule huwez kupata pisi ya 3000, hao wa 3000 hapo itigi wanajifichaga sehemu flani malori yanapaki ukiwaangalia tu unakata na tamaa kut****
 
Hivi mzabzab , haya si ndo maeneo yako mkuu wa uchakataji mbususu? Mpaka sasa hivo sijaona kabosa ukitia neno juu ya suala hili.
Itapendeza kama ukija kurasimisha claim hizi na kutoa mtazamo wako juu ya jinsi ya kuwahandle
Kaka mie hao bei zao siwezi...mie nadeal na form four B na wake za watu tuu. Ndio raha ya kazi yanngu. Anyways ngoja nifanye kautafiti ila pale samaki samaki kuna pisi hatari
 
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...
Namba ya simu ya mawasiliano imesajiliwa kwa jina lako halafu asijue jina lako asili?
 
Ulitiririka vizuri, ukaharibu mwishoni[emoji4]
 
Mengine tunayataka wenyewe!! Vijana pigeni show tuache mbwembwe kitandani sio ndugu yako huyo....
 
Wakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...

Kwanza haya maeneo yana wanadangaji wakutosha, na wanamitego kweli kweli! Ukiingia tu wanakuja hilo eneo la parking na kujifanya kujipiga piga picha hili linafanyika sana kuaniza mida ya Saa 10 hadi 12jioni.

Nguo walizovaa na miili yao na vikuku lazima kama ni m'beba madanga uone hiyo code na kitakachofuata utaita au utafuata mwenyewe!! Baada ya hapo logistics nyingine zinaendelea...

Jana imenitokea situation mpaka sasa naitafakari!!

Kama nilivyoeleza hapo juu, nimeingia zangu pale mida ya jioni jioni! Wakapita wadada wawili mmoja Mweupe na mwingine mweusi (bonge, mrefu, nyuma kishundu kipo kipo) amevaa kibukta chake, wakawa wanajipiga piga picha pale- Wanaopafahamu Morena(Moro) mtanielewa zaidi. Huyu mweusi mimi nilimwelewa na nilivyomwita akaniachia namba chapu, ilikuwa saa kumi na moja kasoro.

Nikaingia hotelini nilivyomaliza taratibu zangu zote, nikampigia yule Dada, kwenye mazungumzo yetu akaniambia kuja kulala ni 90k, kuja na kuondoka 60k, tukabargain hadi mwisho, akakubali kuja kwa 40k na atakuja saa 1jioni aondoke saa 3usiku huo.

Ilivyofika saa 12 na nusu nikatoka ili nikae kwenye garden kwa nje pale, kwa muda niliokaa pale nilijionea Wadada kibao wakifanya kama wale wakwanza!! Nikajua inaweza kuwa official thing!!

Anyway turudi kwenye point alivyokuja kwanza alikataa kunywa bia na hata wine[emoji485] anataka maji! Duuh, haikuwa shida!

Wakati tunaingia ndani tuko kwenye lift akaniuliza jina langu!! Nikamwambia jina la Uongo, as kati ya kitu ambacho siwezi kabisa kusema kwa mgeni ni jina langu halisi...

Tulivyoingia room, haikuchukua muda sana akaanza kazi yake itakayompa Ujira baada ya 2hours, ndio amenikumbatia nini na mambo mengine mengine, sasa kila baada ya sekunde 5 ananiita jina, anataja jina anamalizia na mpenzi hivyo, anaita sana! Ikabidi nimuulize why this? Anasema akiita hivyo ndio anapata mzuka [emoji3][emoji3]!!

Anyway nilipata wasiwasi sana, kwasababu ile ita yake haikuwa normal*

Wasiwasi ulinizidi baada ya 1st round ilibidi nimwambie inatosha swaga zake ziliniogopesha, na nilipiga only kwasababu nilikuwa na mipira!

Nikampatia pesa yake ili aende! Saa tatu ilikuwa hata haijafika, kabla yakuondoka aliniuliza kwanini nimemdanganya jina.? Whaat!! Ni kama vile alijisahau, nafikiri hakukusudia kuniuliza lile swali, nikamhoji sana alitegemea nini!! [emoji3064][emoji3064], Anyway aliondoka bila impact yoyote kwangu!!

Baadae nikaenda pale samakisamaki, hii biashara iko wazi wazi pale. Nikiwa nimekaa pale pembeni wamekaa wadada wawili wameshika simu zao, nikafanya kama kuita hivi!! Akaja, huyu sikukusudia kufanya nae biashara! Nilimnunulia tu bia ili nifanye utafiti sasa...

Kuna siri gani kwenye hiyo business, akawa wazi bana kumbe wangine wanadawa zao, akikuita sana jina lako ujue ni namna tu yakukuzuzusha ili utoe pesa nyingi zaidi ya ile mliokubaliana. Na unaweza kuwa kama tahira kabisa ukiwa kwenye huo mchezo na wao wanachukua pesa tena ukiwa Panzi wanahamisha hata zilizoko kwenye simu yako...

So, Let take care!!

Naamini kuna waliokwisha kulizwa humu, ndio hivyo hawawezi sema!!

[emoji4] Tuwe makini sana kwa sababu danga zenyewe ni visu(wazuri) kweli kweli, kumbe Wachawi.
Choices have consequences.
 
Back
Top Bottom