Ebu fanya kunitumia no yake huyo mdada afu ntakupa mlejeshoWakuu, natoa angalizo la Wazi kabisa!! Hapo Morogoro mjini haswa Maeneo iliyopo Hotel ya Morena na kwa nyuma yake kule (Majumba ya Mawe) na Samaki Samaki...
Kwanza haya maeneo yana wanadangaji wakutosha, na wanamitego kweli kweli! Ukiingia tu wanakuja hilo eneo la parking na kujifanya kujipiga piga picha hili linafanyika sana kuaniza mida ya Saa 10 hadi 12jioni.