Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

Huyo Ki tena kaupiga mpira mpaka kaumaliza 😂

Mpira inatakiwa uucheze kama ndo unaujua leo, tuangalie mpira wa kina Ronaldo na Messi.

Sasa mtu yanga kusifiwa tu mpaka kaacha kucheza mpira, akishinda goli hashangilii, akipoteza hafati
 
Back
Top Bottom