Angalizo: Yanga kumtimua Gamondi wategemee ya Benchika kutokea

Huyo Ki tena kaupiga mpira mpaka kaumaliza ๐Ÿ˜‚

Mpira inatakiwa uucheze kama ndo unaujua leo, tuangalie mpira wa kina Ronaldo na Messi.

Sasa mtu yanga kusifiwa tu mpaka kaacha kucheza mpira, akishinda goli hashangilii, akipoteza hafati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ