#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

Sasa kama matokeo ya maamuzi yote ni the same kuna kipi kipya?
 
tangu aondoke nchi imekuwa shwari....limebaji tu bunge lake la ccm 100%[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nchi imekuwa shwari wakati tunaona watu wanaamua hadi kujitoa muhanga kama Hamza na wengine wapo jela kwa kesi za ugaidi, sasa sijui ushwari upi huo unaouzungumzia wewe?
 
Kumbe alikufa kwa huo ugonjwa mkakati wenu? Wenzio tulijua mmemuua ili mpore mali zetu, wizi na ugaidi virudi kwa kasi. Ili rushwa irudi, ili tusijione tunaweza bila mikopo ya "kifara" n.k kumbe hamkuwa nyie. Lakini mbona covid ilivyomuua ndo hvyo vitu navyo vikajitokeza ama ni coincedences tu? Kwa maneno tunawaelewa japo kidogo ila kwa matendo yenu hamfai kokote pale
 
Ila jamaa aliwaokoa maelfu kwa kukataa kuweka lockdown kama hapo jirani kwa Kagame & M7
Kwa hiyo sisi tuliookelewa na lockdown tunalipi lakijivunia tulilowazidi hao Rwanda au Uganda?
 
Sasa kama matokeo ya maamuzi yote ni the same kuna kipi kipya?
Sijakuambia matokeo ya maamuzi ni the same, nimesema upimaji wa matokeo, madhara au faida inategemeana na uwezo wako wa kupambanua mambo.
 
Sijakuambia matokeo ya maamuzi ni the same, nimesema upimaji wa matokeo, madhara au faida inategemeana na uwezo wako wa kupambanua mambo.
Ndio nakwambia sasa hakuna kilichobadirika
 

mkuu na wewe unaamini meko alikufa corona?
 
Kama kipo kilichobadirika kwa nini usiweke hapa ili kunitoa ujinga?
Masuala ya ujinga mbona mm sijayazungumzia popote?
Nimesema uwezo wako wa kupambanua mambo ndo umekufanya uhitimishe kuwa samia na jpm hawana tofauti katika mtazamo wa covid. Sijatoa maoni yoyote juu ya kiwango cha uwezo wako wa kupambanua mambo.
 
Huu ndio ukweli na alisababisha wengi sana kufa kwa misimamo yake ya kijinga na kiwendawazimu.
waliochanjwa mpk saiv ni chin ya watu laki 4 kat ya mil 60,,ko hao watu laki tatu walio chanjwa ndo wamesababish watu wasife?.... mbona unandik upuuzi,,bila shaka na ww umechanja,, waliochanja tumeshaanza kuwashtukia,, kiufahamu wenu mnakurupuka tu..
 
Mkuu... huyu Mjomba alikua sahihi zaidi ya asilimia 70%! Na alikua na dhamira ya dhati kabisa na hii nchi.

Uchanga wa taifa ndio uliomuangusha, kuzielewa baadhi ya harakati hapa duniani inahitaji exposure na upeo wa kiwango cha maglev.

Sie wengine tusubili tu hadi wakati ufike, ni mapema sana kumjaji tutamuelewa tu.
 
Masuala ya ujinga mbona mm sijayazungumzia popote?
Nimesema uwezo wako wa kupambanua mambo ndo umekufanya uhitimishe kuwa samia na jpm hawana tofauti katika mtazamo wa covid. Sijatoa maoni yoyote juu ya kiwango cha uwezo wako wa kupambanua mambo.
Wewe uwezo wako wa kupambunua mambo umekufikisha kwenye hitimisho lipi?
 
Hawawezi kukujibu. Utaishia kutukanwa na kuambiwa huna nidhamu kwa raisi
Nakubaliana na wewe mkuu.

Ndio maana wale mawaziri wanavutana bila ya sababu badala ya kumjibu Gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…