#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

Mbona mnakwepa kumjibu GWAJIMA? Ukichanjwa barakoa ya nini?
hapo ndio huwa nashangaa exposure za wabunge wetu hawa mbn ht facebook unakutana na explanations nyingi tu kuhusu chanjo na barakoa, kukataa hii chanjo sio issue ila sababu ya kukataa ndio issue coz mwngine ana sababu ambazo ht wataalamu wanazikiri ila mwingine ni kwasababu ya ujinga wake tu kuhusu maswala ya jinsi gani chanjo infnya kazi
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani.

Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk.

Hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote.

Inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya.

Matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona.

Wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine.

Ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu.

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,

Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
Mbona kuna waliochanja na wamekufa?
Mbona ukichanja unavaa barakoa,na bado unachukua tahadhari zote sawa na mtu ambae hajachanja?
Chanjo gani ina masharti hivi?
BTW who told you,alikufa kwa covid?
 
Mtu anahimiza wengine waheshimu taaluma za watu ila yeye mwenyewe haheshimu taaluma za watu, wataalamu wenye taaluma zao wamesema kuwa chanzo cha kifo cha Magufuli ni issue ya moyo ila wewe mwenzetu unapinga unadharau wataalamu kile walichokisema na kudai kuwa kilichomuuwa Magufuli ni corona tofauti na wataalamu walivyosema, kibaya zaidi ushahidi wa madai yako hauna bali unatumia hisia tu.

Sasa kama Magufuli alionekana anapingana na wataalamu na kutumia siasa je hawa wanaodai Magufuli alkufa kwa covid kinyume na wataalamu tena bila ushahidi nao si wanapingana na taaluma za watu kwa sababu za kisiasa au hisia zao kwa Magufuli.
 
Mbona mnakwepa kumjibu GWAJIMA? Ukichanjwa barakoa ya nini?
1630914999358.png
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani.

Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk.

Hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote.

Inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya.

Matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona.

Wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine.

Ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu.

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,

Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
Naona umeanza kupata akili sasa
 
Nimesoma article ya Prof. Shivji 'The dialectic of Maguphilia and Maguphobia' nimesikitika sana. Inavyoelekea kwenye historia ya Tz huwenda Magu akasomwa kama raisi wa 'ajabu' kuwahi kuitawala Tanzania.

Prof. Shivji anasema:

"He (Late Magufuli) had little respect for the constitution or rule of law. He did not even pay lip serviceto the rule of law and breached law and the constitution at will"

Akakazia tena;

"During such functions, which were essentially executive functions, the Speaker and Chief Justice would be invited to speak loyalty and reiterating their admiration for him."

Na tena;

"Although described as a Pan-Africanist after his dearth, he showed little understading of history or politics of Pan Africanism"

Aliponichosha Prof. Shivji ni hapa;

"Although he rhetorically used the term ubeberu (imperialism), it is doubtful if he ever understood it as a system. He hardly ever talked about ubepari (capitalism) or for that matter ujamaa, socialism."

Kuna muda amemsifia ila kwa upana wake amemuelezea kama ikichukuliwa kihistoria baadaye vizazi vitamuona kama raisi aliyeivuruga nchi hichi kipindi. Jambo ambalo linasikitisha sana.

Nilichokipenda kwa Prof. Shivji kaelezea namna mama alivyoingia madarakani kwa walakini na pia kampa ushauri mzuri tu mwishoni.

Kuna mahali kanipa maswali kidogo alipoongelea kipindi baada ya kifo cha raisi Magufuli akasema;

"In the event, to the relief of many, the constitution prevailed. It is not clear which superior force intervened in favour ofthe constitution. So far, the transition has gone smoothly"

Nimewaza sana hii superior force, ghafla nikamkumbuka Gen. V. Mabeyo na hotuba aliyoitoa ile siku ya msiba wa hayati. Baadae historia itamtaja kama General aliyeokoa taifa wakati mgumu sana.

Tukimzingatia Prof. Shivji tutajifunza na kujirekebisha pakubwa, ila yote kwa yote kila kiongozi ana mapungufu na mazuri yake pia.
 
Du hatari na nusu
 
Mwenyezi Mungu fundi kweli kweli, just imagine kama lijiwe lingekuepo adi sasa na hili wave ya delta ya sasa hivi, roho za waTZ zingeteketea kama nzige na ingekuwa balaa tupu………,
Mmpaka sasa ni 400k out of 60m+ vaccineted kweli bila chanjo tungekufa sana.🤪
 
Ile ni sababu tu, wakat wake ulifika angekufa hata kwa sababu nyingine
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani.

Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk.

Hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote.

Inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya.

Matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona.

Wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine.

Ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?

Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu.

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,

Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
Neno ninge/ange mara zote huja mwisho wa safari. Umeandika vzr hasa hapo uliposema heshimu taaluma za watu wengine ambazo.mtu huna ufahamu zaidi[emoji1317][emoji1303]
 
Bandiko bora kabisa. SALUTE mkuu.

Hii kitu nilifikiri sana na nilisikitika sana. Hapo ndipo unaona janga la mchanganyiko wa ujinga (ignorance) na kiburi lilivyo.

Inasikitisha zaidi kuona bado kuna wajinga (ignorants) wengi wanaofikiri Mungu anatenda makuu “kimazingaombwe” tu. “Inuka uende!”. Wanaona hiyo ndiyo miujiza pekee. Hawaelewi kwa nini miujiza ya aina hiyo ilikuwa michache kwa malengo maalum ya nyakati zile. Wanakubali miujiza ya leo hii inayofanywa “at industrial scale”!

Hawaoni kama ugunduzi wa tiba na nyenzo mbalimbali kama “miujiza” iliyowezeshwa na Mwenyenzi Mungu.
 
tangu aondoke nchi imekuwa shwari....limebaji tu bunge lake la ccm 100%[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kabisa! Hasa baada ya magaidi nao kuanza kukamatwa!

Kingine hata kodi na tozo nazo tumepunguziwa sana tu
 
Gwajima ambaye ni mjinga kisayansi anajua nini kuhusu covid?
Akiishiwa hoja anamsingizia riho mtskatifu!
Kwanini nyie chadema msiowajinga msiende kushambulia zile chanjo milioni 1 ziishe chap?
Si mko milino 7 nyie?
 
Back
Top Bottom