#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

#COVID19 Angekubali Chanjo na kuchukua tahadhari mapema, mpaka leo huenda tungekuwa naye

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tupate funzo kupitia hili, Sio kwamba unapokua mkubwa kifedha/kimadaraka ni unaona kila mtu unamzidi akili, hapana Mungu alituumba akatupa akili akatubariki akatufanya tuishi kwa kutegemeana ili kutatua mambo mbali mbali ya duniani.

Mungu akawabariki wataalamu mbalimbali, watabibu, waalimu, wahasibu, wanajeshi, wanasayansi, wakulima, wafanyabiashara, wavuvi, wanamichezo nk.

hawa wote tunaishi kwa kutegemeana ili maisha yasonge, mimi muhasibu nikiugua nitaenda kwa mtabibu, mwanajeshi akitaka kula ataenda kwa mkulima, mwanasiasa akitaka haki ataenda kwa wanasheria wamsaidie, mwalimu akipata tatizo la kiusalama ataenda polisi, polisi akitaka elimu atarudi kwa mwalimu, hivyohivyo kwa wote.

inapotokea wewe umewadharau wenzio na kuona unaakili kuliko wote ndugu yangu unajidanganya.

matabibu wamekwambia ukiwa na ugonjwa sugu tafadhari zingatia miongozo kwa usahihi maana upo kwenye risk kubwa, wewe kwa kiburi chako ukaona unacheo kikubwa na kuwadharau wengine ukijiona umewazidi akili matokeo yake utayaona.

wewe mmoja huwezi kuwa mkemia, ukawa mtabibu, ukawa mwalimu, ukawa mchungaji, ukawa mfamasia, ukawa mwanasaikolojia tafadhali heshimu kada za wengine.

ndugu yangu kufa kupo lakini na kufa kijinga kupo,
bibilia inasema usiwe mjinga kupita kiasi ukafa kabla ya siku zako

Mhubiri 7:17
Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwani ufe kabla ya wakati wako?


Kwa maana hiyo ni kwamba sio kila mtu anaekufa basi ni wakati wake, wengine hufa kabla ya wakati kwa upumbavu.

Pengine ungeheshimu taaluma za watu ukachukua tahadhari mpaka leo tungekua pamoja tukiijenga Tanzania Mama,


Dharau na kibuli havijawai kumuacha mtu salama tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu huu

View attachment 1924317
COVID-19🦠😷inaua hadi wataalamu wa afya wanaotuelimisha jinsi ya kujikinga
 
ndio iliyomuua kwani uongo ubishi,dharau,na ubabe akasahau kuwa virus hana cha mbabe akikuingia lazima apite na wewe kushoto.
Watu wanakufa kwa COVID-19🦠😷kila siku
Hata wewe siyo kwamba uko salama sana ni swala la muda tu
Mikutano ya wanasiasa inaendelea kama kawaida, msongamano kwenye usafiri, viwanja vya mpira, makanisani, misibani, nk hapo waliochanjwa mpaka sasa hawafiki laki 4
 
Samia nenda naye wewe na mmeo, hatutaki madikteta
Samia sio dikteta ila dharau za wapinzani zimemfanya awaonyeshe kidogo mamlaka yake,

hiyo ni introduction mkitaka picha kamili mtalipata
 
Mbona mnakwepa kumjibu GWAJIMA? Ukichanjwa barakoa ya nini?
Kuchanjwa hakuzuii kupata maambukizo bali kunaongeza uwezo wa mwili kupambana usiugue sana au kidedi kabisa.
Ndio maana ya barakoa.
 
Samia sio dikteta ila dharau za wapinzani zimemfanya awaonyeshe kidogo mamlaka yake,

hiyo ni introduction mkitaka picha kamili mtalipata
Magufuli mbabe yuko wapi?
 
Wewe naye ndezi kweli. Amekwambia ukichanjwa hufi? Huu ujinga uliotopea mnautoa wapi? Kakupa mpaka nukuu ya Biblia, lakini bado umejifunika shuka la ujinga. Mijitu mingine kama wewe imekimbilia kulike ulichoandika bila kusoma mpaka mwisho yakaelewa mada.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ You moron watch out!
The ending scope of your understanding, is just my beginning
 
Kwakweli tuna mijinga mingi sana kama wewe. Mada hajaielewa halafu unakimbilia kubwabwaja ujinga hapa. Soma upya acha ubishi wewe.
I never knew that I'm responding to an idiotic new JF member.
Kasome hizi hypothesis mbili.
1.null hypothesis
2.alternate hypothesis

Mbwiga wewe.
 
I never knew that I'm responding to an idiotic new JF member.
Kasome hizi hypothesis mbili.
1.null hypothesis
2.alternate hypothesis

Mbwiga wewe.
unafikiri ukiandika hutwo tuvingereza ndio utaonekana unaakili? wewe ni mjinga na mshamba hiyo iko wazi
 
kwa hali inayoendelea kumsema vibaya magufuli inatakiwa uwe na roho ngumu kama paka.

tena kwenye swala la covid huko,ndio usijaribu.
 
I never knew that I'm responding to an idiotic new JF member.
Kasome hizi hypothesis mbili.
1.null hypothesis
2.alternate hypothesis

Mbwiga wewe.
Kuwa na ID mpya si hoja. Kifupi umetapika halafu unataka watu wakupigie makofi , hapana.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ You moron watch out!
The ending scope of your understanding, is just my beginning

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ You moron watch out!
The ending scope of your understanding, is just my beginning
Unajidanganya sana dogo. Kwa kutapika kule hapana aisee. Kifupi nakuona ni mtu naive fulani unayejidai mwelevu. Kama ungelisoma ile mada vizuri usingeonesha kiwango cha upumbavu wako hapa.
 
Back
Top Bottom