Rais mama samia si magufuli. muache kumu underrate kwenye maamuzi yake.Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
👊👊Akili za kijinga ambazo Magufuri kawalisisha ndio mnataka kila mtu aendelee nazo...