Angekuwa ndio Magufuli kapokea report ya CAG leo, naamini angefanya maamuzi haya ya kishujaa...

Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Unataka afuate udikteta wa meko?
Yeye amekuja na utaratibu wake wa kufuata sheria. Mtu anasimamishwa uchunguzi unafanywa akipatikana na hatia unatumbuliwa.
 
Kuna watu wengine nimegundua hawajui historian za watu,Kakoko na Magufuli ni marafiki na MTU pekee hapa Tanzania alikuwa na uwezo wa kumgomea Magufuli ni Kakoko.
 
Ina maana sahv kakutana na ngoma ngumu siyo!

Ova
 
CAG wa Chuma yule isingeletwa hati chafu hapo leo kama angekuwa yeye..
 
Usimtazame Mama Samia katika mtazamo wa Magufuli.
Ana utashi wake na ana namna yake ya kushughulika na mambo.

Kwa mfano kama ATCL imetengeneza hasara kwa miaka 5 iliyopita.
Nani alikuwa Rais katika miaka hiyo?
Tafuta ripoti ya mwaka jana na juzi na angalia kama ATCL iliandikwa kuwa imetengeneza hasara?
Unakumbuka bosi wa ATCL alitoka na na kutamba kwamba shirika limetengeneza faida mwezi wa 9 mwaka jana?

Unakumbuka jinsi Kakonko alivyokuwa anatoka nakutwambia kuwa bandari inatengeneza faida kubwa na kwamba hakuna mianya ya Rushwa wala ubadhilifu?

Unakumbuka jinsi Jaffo huwa anasema kwa takwimu idadi ya vituo vya afya na shule na zahanati zilizojengwa tena akisifu kwa ujasiri kuwa kuna udhibiti mkubwa wa mapato na matumizi.

Kiufupi ni kuwa, Tanzania ni ile ile, watu watabadili nafasi ila mambo ni yale yale.

Amani na utulivu kwa Taifa letu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ww ni li nyumbu ambalo linadaka habari na kumeza bila kutafakari....
Subirini dawa iwaingie. Hamuwezi Jenga Vitu bila kupitia taratibu na Bungeni. Afu uchukuzi unapeleka Ikulu...ndege bei hatujui. Tutaelewana tu namapambio yenu ya Kijinga na kishamba
 
Usimtazame Mama Samia katika mtazamo wa Magufuli.
Ana utashi wake na ana namna yake ya kushughulika na mambo.

Kwa mfano kama ATCL imetengeneza hasara kwa miaka 5 iliyopita.
Nani alikuwa Rais katika miaka hiyo?
Tafuta ripoti ya mwaka jana na juzi na angalia kama ATCL iliandikwa kuwa imetengeneza hasara?
Unakumbuka bosi wa ATCL alitoka na na kutamba kwamba shirika limetengeneza faida mwezi wa 9 mwaka jana?

Unakumbuka jinsi Kakonko alivyokuwa anatoka nakutwambia kuwa bandari inatengeneza faida kubwa na kwamba hakuna mianya ya Rushwa wala ubadhilifu?

Unakumbuka jinsi Jaffo huwa anasema kwa takwimu idadi ya vituo vya afya na shule na zahanati zilizojengwa tena akisifu kwa ujasiri kuwa kuna udhibiti mkubwa wa mapato na matumizi.

Kiufupi ni kuwa, Tanzania ni ile ile, watu watabadili nafasi ila mambo ni yale yale.

Amani na utulivu kwa Taifa letu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ila kuna haja ya TAMISEMI kufanyiwa mabadiliko hasa kwenye muundo wake.
Wanaoshika fedha ni ma engineer waTARURA na wanaofanya hesabi ni wahasibu.wanaotathmin ni Tarura.so kwenye maujenzi ujenzi huku kunahitaji injinia kwa sasa.
 
We unamatatizo ...ile ripiti isingesomwa vile tulivyosikia
Naunga mkono kauli yako ya kwamba ,ripoti ingekuwa ya kusifia tu,hakuna hasara yoyote ya shirika pendwa la ndege na zaidi sana tungeoneshwa makusanyo na mwenendo mzuri was serikali yake.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
jifunze kutofautisha kati ya maamuzi ya kukurupuka vs maamuzi ya mkakati.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Acha uongo, unajua taratibu za mtu kufukuzwa kazi Serikalini? Taja nani alishawahi kufukuzwa kwa njia hiyo?
 
Wewe acha upumbavu kumpaka rangi Jiwe wakati ni yeye alikua akimuamuru CAG apike ripoti ili serikali yake ionekane safi...
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Report ingesomwa nyingine, ATCL inapata hasara kwa miaka 5 mfululizo, maana yake tangu magufuli aingie ikulu ilikuwa ni hasara tu, alichukua hatua gani?

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.
SIdhani kama angemtumbua DG, Majaliwa alipokwenda Morogoro akamwambia RC kuwa mkoa wake una matumizi mabaya ya fedha za umma, Magufuli alimtumbua RC siku ya pili, lakini Majaliwa alikwenda Kigoma akabaini madudu akayasema, akarudi Dar akabaini madudu akayasema na akawasimamisha kazi baadhi ya watu, akamwambia DG awe firm kwakuwa watu wake wanafuja fedha ya umma, Magufulia alisikia na wala hakuchukua hatua.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Kuhusu ndege kuingiza hasara kila mwaka, angefanyaje?
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone

Hujapenda watu wanavyomsifia huyo mama? Huyo jamaa yako alileta siasa za kidhalimu akapoteza uungwaji mkono na wananchi kwa ridhaa yao.
 
Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Vipi kuhusu shirika la ndege
 
Kiuhalisia wala tusingejua kama žile ndege zinatutia hasara kama taifa
 
Jafo asingekuwa kuwa na kibarua leo hii!!

Asingekuwa na kibarua leo wakati kumchagua juzi? Naona unataka kusifia zilipendwa. Hata angewatumbua wote tusingemsifia maana hakuwa mtenda haki bali dhalimu tu.
 
Back
Top Bottom