Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
ATCL Nako Hasara Ya Billions 60 AngesemajeNawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone