Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Una uelewa mdogo sana katika uongozi wa hayati JPM.Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.
Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo, Angevunja bodi nzima ya TPA, DG angefukuzwa na sio kusimamishwa. Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii.
Ngoja tuone
Hujui kuwa yeye Magufuli ndiye amesababisha huu upotevu kwa kutochukua hatua madhubuti?
Hujui ATCL kwa mfano,imekuwa hasara kwa miaka 5 mfululizo?Nani alikuwa rais kwenye miaka hiyo mitano?
Muache kusifia hata kama ndiyo Ajira yenu.