Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Unataka afuate udikteta wa meko?Nawashangaa mnaomsifia Madam Samia kwa kumsimamisha DG wa TPA na kumpa onyo Jaffo.Binafsi naamini Magufuli angekuwa hai leo,Angevunja bodi nzima ya TPA,DG angefukuzwa na sio kusimamishwa.Jaffo angetumbuliwa sababu alishaonywa mapema,angeteua mwanajeshi kuwa DG mpya wa TPA.waziri mpya wa Tamisemi angeweza kuwa mkuchika au Mhagama.
Sasa huyu mama ameanza kucheka na nyani mapema yote hii..ngoja tuone
Yeye amekuja na utaratibu wake wa kufuata sheria. Mtu anasimamishwa uchunguzi unafanywa akipatikana na hatia unatumbuliwa.