Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana.

Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/=

Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni kubwa Kanda ya ziwa.

Lakini angekuwepo hayati JPM mradi wa treni ya Sgr ungekuwa umekamilika. Gharama za usafirishani wa cement zingepungua na kanda ya ziwa bei isingefikia Tsh 28000/=
Kwa hiyo wewe bwege mpaka umri huu hujajenga? Mbwembwe zote za kuwa chawa wa Magufuli ulikuwa haulipwi kitu?
 
Ushauri wa bure, nenda ukajenge kibanda pale kaburini kwake Chato
Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana.

Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/=

Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni kubwa Kanda ya ziwa.

Lakini angekuwepo hayati JPM mradi wa treni ya Sgr ungekuwa umekamilika. Gharama za usafirishani wa cement zingepungua na kanda ya ziwa bei isingefikia Tsh 28000/=
 
Alikuwepo Sukari ikafikia 5800 2018
Alikuwepo bando ya bati nyeupe ilipanda kutoka 200k mpaka 460000 2019.
Alikuwepo Mbolea ilipanda kutoka 50 UREA hadi 65000.
Alikuwepo nondo ilipanda kutoka 13000 mpaka 23000 2018.
Alikuwepo Cement kanda ya Ziwa ilipanda kutoka 15000 mpaka 17000.

Msiwe wepesi wa kusahau.
Mkuuu Sema yoteeee Ila kwenye MBOLEA USISEME MAAANA NITAKULETA TAKWIMU HALISIA MAAANA MIE NAFANYA BIASHARA YA MBOLEA MWAKA WA 22 SSA MAGUFULI KWA MBOLEA USISEME LOLOTE ACHA ROHO MBAYA MKUUU
 
Alidhibiti wakati bei zilipaa na hazijawahi kushuka, au hujui maana ya kudhibiti?
bila shaka ulikuwa umeolewa na kufungiwa nairobi na ford foundation, ulikuwa unaletewa taarifa na kujazwa ujinga bila kuuchambua, mbaya zaidi haukuwa uhalisia wa maisha ya watz!
 
Magufuli nilimkubali sana.
Kwa hili la cement hata yeye ingekuwa ngumu kudhibiti kupanda bei.

Tatizo la gharama za mafuta na mfumuko wa bei sababu ya vita vya Ukraine dhidi ya Russia na ile ya Iran dhidi ya Marekani na Israel vimeleta changamoto nyingi sana.
 
bila shaka ulikuwa umeolewa na kufungiwa nairobi na ford foundation, ulikuwa unaletewa taarifa na kujazwa ujinga bila kuuchambua, mbaya zaidi haukuwa uhalisia wa maisha ya watz!
Kuna namna watanzania waliambiwa kuhusu Magufuli, na kuna namna watanzania wenye akili walimuona Magufuli. Yaani ww unamzunguzia Magufuli alivyotaka azungumziwe, mimi ninamzungumzia Magufuli alivyokuwa.
 
Kama alikuwa anashusha/kudhibiti bei za vitu ama huduma, ilikuwaje ndege za Air Tanzania zikawa na nauli ghali kuliko fastjet?
Tatizo ni ubongo wako umejaa negativity, angeweka bei ndogo kuliko fastjet ungesema anauwa private sector. Mkuu uwe positive wakati mwingine sio ujinga kukubali usiyempenda ana mazuri yake pia.
 
Mkuuu Sema yoteeee Ila kwenye MBOLEA USISEME MAAANA NITAKULETA TAKWIMU HALISIA MAAANA MIE NAFANYA BIASHARA YA MBOLEA MWAKA WA 22 SSA MAGUFULI KWA MBOLEA USISEME LOLOTE ACHA ROHO MBAYA MKUUU
Mimi ni mkulima for more than 25 years natumia mbolea Tangu 1998. Kwahiyo hakuna nisichokijua kuhusu mbolea
 
Kigoma kuna kiwanda cha saruji ila bei msumari.

BTW: Sasa hivi kuipata Nyati cement ni muujiza,wachina wameshashika soko na 25K/mfuko.
 
Alikuwa na Kiwanda cha cement? Huyo si ndio alipoingia tu madarakani na ule ulimbukeni wake wa madaraka mafuta ya kula na sukari zikapanda ghafla? Amesahau yeye ndio alianza kumsumbua Dangote na Kiwanda chake cha cement?
Hao waliaminishwa Magufuli ni kama MunguMtu wao vile.
 
Huyu bibi ana laana .

Kila kitu tangu awe rais kinapanda bei tu
Hilo shetani lenu la Chato ndilo lilitupandishia bei ya sukari kutoka 1,600 aliyoikuta kwa JK mpk akaifikisha sh. 2,400.
Ndiye aliyeua bei ya mbaazi kutoka sh. 4,000 kwa kilo enzi za JK akaishusha mpk sh. 200 kwa kilo. Hivyo hivyo kwa bei ya Pamba, Korosho nk. Msidhani tumesahau ushetani wake
 
Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/=
Bei ya cement kupanda inatokana na gharama za uendeshaji kuongezeka kutokana na bei ya mafuta kuwa juu na si juhudi za raisi yeyote yule anayeweza kubadili hilo.
 
Tatizo ni ubongo wako umejaa negativity, angeweka bei ndogo kuliko fastjet ungesema anauwa private sector. Mkuu uwe positive wakati mwingine sio ujinga kukubali usiyempenda ana mazuri yake pia.
Kwani wakati anaweka hizo bei ya juu hiyo fastjet ilikuwepo tena, ama aliweka bei kubwa ili kuisaidia private sector? Hapa ni Swala la kuwa positive ama ni kuweka record sawa kwa huyo mpotoshaji aliyetaka kumsifia Magufuli akitegemea wote hatuna kumbukumbu ya uhalisia ulivyokuwa wakati wa Magufuli? Kama mnamuongelea Magufuli positively, msitake tukae kimya kueleza alivyokuwa kiuhalisia.
 
Kanda ya ziwa Victoria inafanyiwa harassment ya kisiasa sana.

Maisha yapo juu hususani bei ya cement. Kwa miaka nenda rudi bei ya cement ni tatizk kubwa kanda ya ziwa. Leo hii imefikia Tsh 28000/=

Hii yote ni kwa sababu gharama za usafirishaji kwa kutumia malori ni kubwa ndio maana bei ni kubwa Kanda ya ziwa.

Lakini angekuwepo hayati JPM mradi wa treni ya Sgr ungekuwa umekamilika. Gharama za usafirishani wa cement zingepungua na kanda ya ziwa bei isingefikia Tsh 28000/=
Kufika 2030 mtanunua 50,000.

Na hamna pa kulalamika, maana mnechagua kuwanyamazisha wasemaji na watetezi kwa risasi na jela.
 
Huyo mleta uzi ni mjinga, anadhani tunasahau kwa kiwango hicho. Nikisikia mtu anasema tu angekuwepo Magufuli, najua alijaa kwenye propaganda za utawala wake.
Magufuli ndiye mwasisi wa risasi za mmoja mmoja, ila huyu mama amevunja record kuuwa kwa halaiki na maisha magumu.
 
Tatizo ni ubongo wako umejaa negativity, angeweka bei ndogo kuliko fastjet ungesema anauwa private sector. Mkuu uwe positive wakati mwingine sio ujinga kukubali usiyempenda ana mazuri yake pia.
Magufuli mwenyewe hakuwa positive.
 
Back
Top Bottom