Angekuwepo Magufuli, bei ya cement isingefikia Tsh 28000/= kanda ya ziwa

Alikuwa na Kiwanda cha cement? Huyo si ndio alipoingia tu madarakani na ule ulimbukeni wake wa madaraka mafuta ya kula na sukari zikapanda ghafla? Amesahau yeye ndio alianza kumsumbua Dangote na Kiwanda chake cha cement?

Dangote alingia kwenye mikatab ya kitapeli na mtangulizi wa Magufuli kitu ambacho Magufuli aliweka sawa na Dangote yakaisha
 
We unajibu mada kwa kuwa na chuki na mtu. Ishu ya sukari zilikuwa njama za mafisadi na alidhibiti. Ulitaka Dongete awekeze kibwege kama ilivyofanyika Bulyanhulu?
Wewe unajibu kimahaba, jiwe angeharibu kabisa hii nchi. Mambo ya kutekana na wizi wa kura yeye ndiye muhasisi.
 
Magufuli ndiye aliye tuletea siasa za kishenzi shenzi yeye ndiye muasisi
 
 

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 7
  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…