Ndio yeye huyo.Kwanini?
Vuwa chupi tu unapata uamisho fasta.Mkuu kama kuna mtaalamu unamfahamu tanga,naomba maelekezo ya kumpata,kama jina na Kijiji anapopatikana,no ya simu pia,itakuwa si mbaya
Kuna wajinga wananifanyia mazonge kwenye uhamisho wangu,nataka nitatue hiyo changamoto.
Wewe huna akili, au hujui kinachoendelea, kwanza wewe una ustaarabu upi?, staha ipi na uungwana upi?Staha- sifuri.
Ustaarabu - sifuri.
Uungwana - sifuri.
U need to change mkuu.
Kwa hiyo mwanaume aende kugongwa Sio? Una mwambia mwanaume mwenzako aende kugongwa ili apate uhamisho Sio?Wewe huna akili, au hujui kinachoendelea, kwanza wewe una ustaarabu upi?, staha ipi na uungwana upi?
Kumwambia mtu ukweli rushwa ya ngono ndio inayotumika kwa short cut uko ndio kukosa staha, ustaarabu na uungwana?
Jinga kabisa wewe, sasa mpeleke huko kwenye ushirikina Mganga ampumbaze kwa madawa anavuliwa chupi na Mganga na uhamisho hapati.
kama upo serous nitafute kwa namb hy sifur sita ishilin na moja thelathn na moja sofur sit arobain na sita, nitakupeleka had kwa mtaalamu pesa yako tuMkuu kama kuna mtaalamu unamfahamu tanga,naomba maelekezo ya kumpata,kama jina na Kijiji anapopatikana,no ya simu pia,itakuwa si mbaya
Kuna wajinga wananifanyia mazonge kwenye uhamisho wangu,nataka nitatue hiyo changamoto.
Vuwa chupi tu unapata uamisho fasta.
Asante mkuu,miye Sina haja yabkutoa roho ya mtu,nataka tu,nipate haki yangu,manake Kuna jamaa wameshikilia uhamisho wangu mwaka unaisha Sasa,Nenda morogoro, sehemu inaitwa vibandani,uliza sheikh ayubu,Ila usiue,haoni shida kuua
Huyo sheikh mzuri kwa fosi mipangoAsante mkuu,miye Sina haja yabkutoa roho ya mtu,nataka tu,nipate haki yangu,manake Kuna jamaa wameshikilia uhamisho wangu mwaka unaisha Sasa,
Sababu za kunizuia hamna manake nimewasilisha nyaraka zote,sema naona jamaa anafanya kunikomoa.
Sawa ngoja nijipange niende,manake hata juzi nimeota ndoto mbaya kuhusu kuhama kwangu,nahisi kabisa napigwa misumari nisitoke huku walikonisukumia mwaka juzi,Ila nitahama tu ,huu mwaka hauishiHuyo sheikh mzuri kwa fosi mipango
Ila andaa fungu,mi nilitumia 400,ametumiwa Sana na namba one Fulani na vigogo wengine wengiSawa ngoja nijipange niende,manake hata juzi nimeota ndoto mbaya kuhusu kuhama kwangu,nahisi kabisa napigwa misumari nisitoke huku walikonisukumia mwaka juzi,Ila nitahama tu ,huu mwaka hauishi
Sawa ngoja niweke mipango sawa,hii dunia Kuna watu wanaweza kufanya wende sehemu ambazo hukuwahi ota utawahi fika,wamenipiga Sana misumari,nikakaa kimya,Sasa napambana nitoke huku nianze upya,lakin nawaona hawa ibilisi bado wamenikalia kooni.Ila andaa fungu,mi nilitumia 400,ametumiwa Sana na namba one Fulani na vigogo wengine wengi
Nakazia. Jamaa heshima yake inapungua kwa kasi sana hapa jf mpaka nahisi labda kuna muhuni ame hack account yakeDah nilikuwa nakuheshimu sana mkuu ila kwa comment hii duuu..!!
Kweli mtu hubaki kuwa mwenye hekima na mwerevu hadi pale atakapofungua mdomo wake.
Huyo jamaa asikuumize kichwa anajulikana hapa jf,afu matola anadhan kila mtu ni mgeni humu jf,so anajicomentia tu hovyo,kudhalilisha watuNakazia. Jamaa heshima yake inapungua kwa kasi sana hapa jf mpaka nahisi labda kuna muhuni ame hack account yake
Mimi Wala sio mbayaa ni njema Tu kwangu simuumizi Mtu na Sina sababu hyoHabari mbaya kwako ni kwamba hata wewe usie fanya shirk utakufa pia.
Kabaki maliki bolizozo tu!Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi.
Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani".
Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe ndio fundi ambae ameroga mechi husika.
Mfano ukisikia " hii mechi amecheza Kassim Dewji" basi maana yake ni kwamba Kassim Dewji ndio ameleta wataalamu wa kushughulika na mechi husika katika ulimwengu wa roho.
" Hii mechi amecheza 'NZee Jabiri' basi maana yake ni kwamba NZee Jabiri ndio kaleta kamati ya ufundi ambayo ndio imehusika na " kucheza" mechi husika katika ulimwengu wa roho.
" Hii mechi kacheza Biti Amiry au Bi. Mwazani Chande" etc
Basi miaka ya themanini mwishonj mpaka tisini katikati pale Tanga kulikuwa ana mtu wa kuitwa Malik (R.I.P)
Huyu alikuwa ni fundi kwelikweli mnazi na mpenzi lialia wa Dar es salaam Young Africans pamoja na African Sport ya Tanga (tawi la Yanga) "wana kimanumanu."
Huyu Bwana mechi karibu zote za African Sport alikuwaga " anacheza" yeye.
Wakati wake African Sport walitamba sana. Alikuwa anawapiga watoto wadogo Kostali kama anavyo taka yeye.
Hata kile kisa maarufu cha jamaa wa AFRICAN Sport aliyezikwa baharini kiwili kiwili " kasoro kichwa" kwenye mechi dhidi ya Kostali, Kostali wakapasuka kimoko pale Mkwakwani ilikuwa ni kazi ya Maliki.
Kuna mwaka alisha wapiga Simba nje ndani (Dar na mkwakwani) kama sikosei ni ule mwaka ambao Simba walitaka kushuka daraja.
Mechi nyingi za Yanga pale Mkwakwani alikuwaga anazicheza yeye.
Nje ya mpira jamaa alijulikana pia kwa mambo mazito mazito aliyo kuwa akiyafanya.
Ndio maana alijukana sana ukanda wa Pwani ya Afrika Mashariki hasahasa Mombasa na Dar es Salaam.
Mengi yanatajwa kuhusu " kifo " chake nadhani si mahala pake hapa kueleza what do people say why and how he died.
Tangu kifo chake wana kimanumanu wamedrop sana. Malik was irreplaceable.
Katika nyakati kama hizi mashabiki wa Yanga jijini Tanga wanatamani Malik angekuwepo kwa sababu angeicheza mechi ya kesho peke yake. Tanga ilikuwa milki yake na Simba aliwamudu vizuri...
All the best Young Africans kwenye mechi ya kesho.
Daima mbele nyuma mwiko