Angel Benard aolewa mara ya pili

Kama nakumbuka vizuri walishawahi kuandika; wamezaliwa mwaka mmoja na mwezi mmoja; Rose alimtangulia Nick masaa machache kuzaliwa
Mwanamke aliyezaliwa mwaka mmoja na mume lazima baada ya miaka michache aonekane mkubwa. Mke angalau umzidi miaka 5. Huwa nawaambia vijana wadogo kwamba hao girlfriend zenu sio wake zenu mmewashikia tu watu
 
Mimi mwanaume wangu anizidi hata miaka 10 sio kunizidi umri tu pia napenda anizidi hata dhambi aisee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…