Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Unaongea kama Mkenya sasa mbona au ndio ile watu wanasema kutengeneza swaga?Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kama Mkenya sasa mbona au ndio ile watu wanasema kutengeneza swaga?Mtanzania
Mama kumbe shaboka ashachepukaIla huyu dada naye ana tatizo.
Before Sakafu ana watoto wawili kila mmoja na baba Yake. (Mmoja kazaa na Shaboka)
Sihukumu ila yawezekana naye kuna kitu.
Hapana, alizaa na Angela kitambo, mtoto wa ujananiHuyu Nick wakati anazaa na Angel,tayari alikuwa na mkewe Rose ?Duh kama alikuwa tayari kaoa hawa the so called watumishi ni uzushi mtupu.
Watu wanafungua makanisa ili watoke kimaisha, sio kuhubiri neno la Mungu na kufuata maandikoKama Florah Mbasha?
Na wachungaji wanaowaozesha sijui wanasimamia Maandiko gani ?
Au wanafunga ndoa bomani baada ya talaka kutolewa?
Hapana,Yupo kwenye forty hivi
Hana 40..Seriously???! Mimi nimefuatisha tu hiyo age ya mtu aliyemaliza chuo 2010 (kama alianza shule na miaka 7). Na nilianza kumfuatilia akiwa mwembamba sana, huu mwili umekuja baada ya kuzaa
Kwa nini Nick alizaa na Angel na hakumuoa ?Tena wamezaa wakiwa walokole.Hana 40..
Hata 37 hana, hata Nick siyo mdogo ila ana sura ya kitoto
Maisha ya ujana tu,Kwa nini Nick alizaa na Angel na hakumuoa ?Tena wamezaa wakiwa walokole.
So mtoto alizaa na Nick ni wa pili?Na Huyo mtoto kabaki Tanzania na Nick au yupo US kwa mama yake?Maisha ya ujana tu,
Angela tu naona ana matatizo yake, maana kipindi hicho akikua na mtoto mwingine pia
Duuh kweli mambo ni mengi mjini [emoji53]Martha mwaipaja Christina shusho wanatoka na mwamposa
Tatizo Angel Benard kazalishwa na wanaume wawili tofauti kabla ya ndoa. Ni mzinzi aliyekubuhu. Huyo mme mpya ajiangalie.TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake,what if mwenye shida alikua huyo mume?ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole?mlokole hana moyo?hana hisia?au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?
why people are always negative?
As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu,acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna?smh
Tatizo ni mziznzi. Kabigwa mimba mara mbili kabla ya kuolewa. Huyo hawezi kukaa na mme. Ni malaya aliyekubuhu.She is beautiful soul, tuangalie kazi zake zilizofanya tukamjua! Personal life tutamhukumu bure bila kuwa na facts.
We na we unachanganya madesa.Sio Rose huyo (muhando) anayeongelewa hapa.Ni Rose shabokaRose unga ndo ulimharibu
Huyo hajaokoka. Kazaa na wanaume wawili tofauti. Hana maadili. Hata hii ndoa haitadumu.Il
Ila kimaadili anatufundisha nini?? Hasa kwa mziki anaoimba??
Yes alikua mtoto wa pili.So mtoto alizaa na Nick ni wa pili?Na Huyo mtoto kabaki Tanzania na Nick au yupo US kwa mama yake?
Nataka nikujibu vibaya ila "Kambi ya fisi" ni jina la mtaa ninaouheshimu sana huko Arusha. Hilo jina ninalotumia ukilisoma vizuri ni halina jinsia. Utaelewa maana yake 2025 tuombe uzima. Jitahidi sana usiwe una-comment wakati unapata mataputapu.Wewe si ni ke wewe utaoaje ke mwenzio?
Ukweli ni kwamba dada alikuwa kahaba. Kajificha kwa huyo jamaa ila mambo sio mambo. Mme wake kahangaika Sana naona Bora waachane.Sema ndo wote hatujui ukweli ni upi
Nick Shaboka Jr. Jamaa hatari Sana kwa watoto wa kike.Shaboka yule mme wake rose?
Mume yupo marekani.Asante kwakuulkza hivi maana nami nilitaka niulize, alafu ni muimba gospel sasa