Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake,what if mwenye shida alikua huyo mume?ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole?mlokole hana moyo?hana hisia?au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?
why people are always negative?
As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu,acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna?smh
Tatizo Angel Benard kazalishwa na wanaume wawili tofauti kabla ya ndoa. Ni mzinzi aliyekubuhu. Huyo mme mpya ajiangalie.
 
She is beautiful soul, tuangalie kazi zake zilizofanya tukamjua! Personal life tutamhukumu bure bila kuwa na facts.
Tatizo ni mziznzi. Kabigwa mimba mara mbili kabla ya kuolewa. Huyo hawezi kukaa na mme. Ni malaya aliyekubuhu.
 
Back
Top Bottom