Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Hapana huyo mpaka akujengee labda umpe radius yako, maana buldoza ana honga ila huo mchepuko sura personal aliyekuwa anajiuza uturuki ndio kamjengea mjengo mzuri kuliko nyumba speaker Sasa huyo changu anajua Kila kitu including body to body massage na ana nyonya sehemu nyeti ya sodoma na gomora huyo ndio kajengewa Sasa mie sijazoea uhuni Wala
Aw!mambo mazito haya.
 
Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara
Nimesoma naye A level alikuwa active Sana kwenye Mambo ya dini. Na alikuwa ameokoka. Nakumbuka walijiunda ka group ka wasichana (kipindi hicho bado wasichana) Kama wanne hivi walikuwa wanaimba haoo
Walijiita anointed singers!
 
Mkuu, kwa niliyoyasoma humu kuhusu hawa waimbaji wetu wa Gospel na hao kina Bulldozer kama kweli na ushahidi mwengine wa wachangiaji ambao rafiki zao wametembea na wanatembea na watumishi mpaka kuzalishwa Sina shaka na utumiaji wa nguvu za giza kwa watumishi ili kutenda miujiza.
Angel Benard kuwa na watoto watatu kwa baba tofauti sio issue sana kama alikuwa anafanya hayo kabla hajaokoka, lakini kitendo cha kusafirisha na mwengine kwenda Marekani na kuolewa na mwengine huko ng'ambo ni ulimbukeni na Ni fundisho tosha kwa wanaointend kuwapeleka nje partners zao kwa shuguri zozote zile nje
Rose Shaboka namkubali sana coz nimesoma nae Udsm na kuhudumu nae charples mbalimbali Dar tukiwa chuo.
Martha Mwaipaja na Christina Shusho kwenye huduma yao sikuwa na mashaka nao kabisa, Ila hizi habari za kutoka na Bulldozer kimapenzi zimeniacha hoi....
Yesu Kristo ingilia kanisa lako
Ndugu usiingie kwenye mkumbo wa kuwasema watumishi wa Mungu, humu kila mtu anasema lake bila kuwa na ushahidi walio wengi wanafuata mkumbo,tukumbuke ukimsema mpakwa mafuta wa Mungu ni hatia,labda kama hamtumikii Mungu alie hai.
 
Back
Top Bottom