Angel Benard aolewa mara ya pili

Ka story ka long time akisali hapo haloo
Duh
Basi mambo ni mengi

Waimbaji wengi wanakumbana na hizi changamoto kwa sababu kitengo zamani alikishikilia shetani .
Kwahiyo kwa namna yoyote ile lazima awapige vita .
Wasiposimama vizuri kwenye maombi na unyenyekevu anawadondosha.


Ila mumewe flora pia naonaga kama hayupo sawa yaani sijui hata yupoje.
 
Mimi sikutishi I'm whistle blower,hata Yesu mwokozi alisemwa vibaya kwa uongo hata kufa,je itakuwa ajabu akina mwamposa kuzushiwa?pia unapaswa kujua hata ingekuwa kweli kumsengenya mtu kwa namna yeyote unakuwa umetenda dhambi.
[emoji28][emoji28][emoji28]wahuni na wavunja maadili na maandiko ndio whistle blower [emoji28][emoji28], tapeli wacheni kumkufuru Mungu kina Mackenzie nyie
 
Waimbaji wengi hata kanisani Huwa zinaa inawatesa sana na uhuni sijui kwanini.
Ila hata mbasha alikuwaga kichomi flani.
Mwimbaji anayejiheshimu angel magoti
 
Waimbaji wengi hata kanisani Huwa zinaa inawatesa sana na uhuni sijui kwanini.
Ila hata mbasha alikuwaga kichomi flani.
Mwimbaji anayejiheshimu angel magoti
Kanisani ipo hii shida ni kwa ssbabu hiyohiyo
Shetani anaona wivu.
Na Mungu huwa anapenda sana kusikia sauti za wanadamu zilimsifu. ..Kuna uspecial na favor Fulani ipo katika uimbaji


Mwanamuziki wa Gospel ninayempenda sana ni John Lissu..
Very humble .
.
Kwa wadada yupo Jenifer Mgendi..
Ni dada anayejiheshimu sana kwa kweli,.nisikitishwa na taarifa za mumewe kufariki kipindi cha covid.
 
Tina kafungua lake na walitengana na mumewe then mumewe akahania kanisa la mkewe ndio wamegombana mazima Wala.
Huyo Angel naye kabla ya kuolewa alishazaa watoto wawili na baba tofauti kaolewa ndoa hyo kazaa mtoto mmoja kakimbia ndoa ndio kaolewa hii ndoa ya pili ninavojua Kwa mkristo ndoa moja

Ila haya makanisa ya kina Mackenzie na binafsi nadhani waweza olewa tu mara nyingi ikikushinda unahamia kanisa lingine unaoa olewa.
Ila mwisho wa siku heri makanisa yetu ya asili yaliyozoelrka ka RC, KKkt kule madudu na usanii sio kama hizi biashara za Hawa walioshindikana kitabia
 
Ifike mahala viongezwe vigezo katika usajili wa kanisa aisee
Kila mtu anajifungulia la kwake .
Binafsi japo ni Mcct ila huwa nasali hata kwenye hayo makanisa ya kipentecoste,ila mengi naona hayako stable kihivyo,
Utaratibu maalum hakuna.


Tubaki na yake makanisa formal tu .
Haya mengine vitu vingi sana vinamiss...
Inafika mahala hadi akina Zumaridi wanajiita Mungu,hii nchi uhuru umezidi πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…