Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

SIO KWAMBA NIKO NEGATIVE, UKWELI NA TUUSEME

POPOTE PALIPO NA MKUSANYIKO WA WATU WA JINSIA MBILI TOFAUTI WENYE KUKAA PAMOJA KWA MUDA MREFU:
KAMA NI KAZINI/OFISINI
KAMA NI SHULENI/CHUONI
KANISANI/KWAYA

HIZI MAMBO ZA KUTIA/KUTIWA NI UTAMADUNI WA KAWAIDA KABISA.
KUIMBA NYIMBO ZA INJILI, SIO UTAKATIFU
 
😀 Mzungu ana mihela mie huku nadunduliza chenchi za madafu ni ngumu aisee!!! Kwanza dadaako anapenda sana Ulaya hilo kosa la kumpeleka kule siwezi fanya hata siku 1
Unadunduliza
Na ubabe juu..
Yaani wanaume wa bongo🙌
Huku wenzenu wanapenda demokrasia,mwanamume anaweza shoutiwa.

Sasa hapo naanzaje kurudi jamani?
 
😀 Ubabe ni asili yetu acha tutambe
Lakini Kuna wabongo wanajua kutoa hela...
Hata kama ni kidogo..
Sisi wanawake tunaangalia nia,na si kiasi.

Ila sasa kwenye ubabe sass🙌
Mjifunze msiwe wababe..
Nyie wenyewe ndo mnaofanya wanawake wenu wakienda huko wakatae kurudi bongo .
Hela mtapewa iliopo sio mtegemee mifweza ya bili gates mzee wa kuku
 
Nimesoma naye A level alikuwa active Sana kwenye Mambo ya dini. Na alikuwa ameokoka. Nakumbuka walijiunda ka group ka wasichana (kipindi hicho bado wasichana) Kama wanne hivi walikuwa wanaimba haoo
Walijiita anointed singers!
hii imekaa vizuri..Sasa unaonaje na mimi na wewe tukijiunga kwa pamoja tufanye ya kwetu na sisi?
 
Back
Top Bottom