Acheni kufatilia maisha ya watu,awe muimba injili,awe mtawa,mchungaji,furaha yake ni jukumu lake,usitumie watu kama rada ya maadili yako ya kidini,utakuwa unakwazika sana,
Every one deserve to be happy,kama mume wa kwanza alileta shida,akafulia unataka Binti wa watu afanyeje?
Flora mbasha,Martha mwaipaja,Shusho,wote wapo sahihi kwa maisha yao,wasihukumiwe kwa kuishi maisha yao,hawana deni na mtu kufata "maadili ya dini,live ur life,and for
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala sake,let others live their life,the don't owe you any explanation.