Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Tukae kimya ujinga ukifanyika?. Mimi nitasema kweli daima maana huu unafiki ndio unaliharibu kanisa. Juzi Kuna msanii kafunga ndoa madhabahuni kkKT Mbezi beach ana mimba ya miezi minne, tulipoongea tukaambiwa tusimseme ni Maisha yake.

Yani tunaona halali kufunga ndoa madhabahuni ukiwa na mimba na watu wakae kimya. Tukiendelea na huu unafiki watu wataishia kwenye uislamu.
Ongea na wahusika wazi wazi huenda wakakuelewa vizuri sana na wakatubu kuliko kusambaza machafu yao kwa mataifa, huko sio sawa.
 
Sio kweli, hapa unawaanika tu na kuwasengenya.
Ni kosa kuwaanika?. Mbona mafisadi tunawaanika na wanashughulikiwa, ila matapeli wa kiroho ndio tuwaache?. Mbona Kenya wameweza? Sisi je. Kasome story ya Jim Jones , zilianza hivhivi, watu wakisema wanaonekana vibaya. Mwisho wa siku Jim Jones kaua waumini wake wote kwa sumu. Tuache tuongee ukweli tufunge watu wasife Kama kwa Mackenzie.
 
Mtu kazaa na wanaume wanne tofauti, Bado unakuja hapa watu msimseme mpakwa mafuta wa bwana. Unajua maana ya kupakwa mafuta? Yani mpakwa mafuta wa bwana anafanya uzinifu kuliko mpagani. Tuache unafiki.
Huo ni upeo wako wa kuona mambo,acha kuhukumu watu hukumu ni juu ya Mungu.
 
Ila Emma mbasha NAE muhuni muhuni yule mtoto was Vingunguti
Kampiga sana matukio madam flora,ujue mom flora anakuja kumsaliti alivumilia mengi mnoo yule dada
Mimi Kwa Flora naona Mbasha anastahiki kuachwa maana alikua Malaya halafu ule Wa waziwazi kuanzia kitaa mpk church

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila Hadi flora kukimbia alipitia mengi na wanaume ma handsome huwa ni majipu tu, ila flora huyu mume mwingine ana mpenda sana
 
Back
Top Bottom