Angel Benard aolewa mara ya pili

Jf ni zaidi ya uijuavyo ndo maaana naogopa Sana kua staa maana najua ntaanikwa humu balaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]na utakua ukweli mtupu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuwa maarufu ni msalaba utashangaa Siri zinatoka mfano humu JF hata mwanafamilia anayekujua ana mwaga tu mambo. Niwape pole watu maarufu
 
Ni vile amejipa jukumu la kupenda ambalo ni la mume. Mwanaume ukimbana ni kero na Hawa viumbe hata uwape Nini Huwa hawatulii asijichoshe
Hiyo "NINI" ni kitu gani? Manake wanawake huu msemo wa "hata uwape nini " mnaupenda, je hiyo NINI ndio kitu gani?
 
Kuishi na mwanaume asiyekupenda daa hapana siwezi kabisa, anaweza kuwa anakufanyia vituko unaogopa hata kuongea kisa utamuudhi, maisha gani hayo mmmm!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kwanini u force kupenda au kupendwa ujue mwanaume akikupenda una enjoy kuliko kujiliza Kwa asiye kupenda.
 
Kuna situation wanazo kutana nazo watumishi sometimes huwaga na zielewa,kuteleza kupo ila isiwe ile kila mara maana itaonekana ndio tabia yako.Kama ya yule padri na mama wa kihaya,yule mama acha kabisa kiuno chembamba bonge la shape.

Yule padri mpaka kesho na mkubali.
 
Hiyo "NINI" ni kitu gani? Manake wanawake huu msemo wa "hata uwape nini " mnaupenda, je hiyo NINI ndio kitu gani?
Nyie hata mwanamke afanye Nini hamridjiki na hamjui mnataka Nini aisee kwahyo kuhangaika kumu please mwanaume ni wastage of time and energy. Na wanaume mnapenda wanawake wa hulka ya kimalaya na pasua kichwa tu.
So it's dangerous to waste ur time to please a man
 
NINi ndio nini? Mpaka sasa hujafafanua.
 
Sana , mwenye tabia njema anakuwa mkwepaji nzuri lakini yule asiye jitambua anakula tu tena kimya kimya, watumishi wengine wasiopenda hulalamika kabisa.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Inamfanyia yote kwa yote lakini utasikia wanawake sijui nini, mpaka unajilaumu bora uishi kikomandoo ili mwende sawa.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sana , mwenye tabia njema anakuwa mkwepaji nzuri lakini yule asiye jitambua anakula tu tena kimya kimya, watumishi wengine wasiopenda hulalamika kabisa.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mfano sasa hivi Kanisani ninapo sali ukitaka kumuona padri kuna sekretari mama wa makamo,anakuhoji na kukutizama mavazi yako then anakuruhusu. Hii kidogo inasaidia lkn hii kurupu unataka kumuona mtumishi,hii ndio inawapaga wakati mgumu watumishi.
 
Lakini Kuna wabongo wanajua kutoa hela...
Hata kama ni kidogo..
Sisi wanawake tunaangalia nia,na si kiasi.

Ila sasa kwenye ubabe sass[emoji119]
Mjifunze msiwe wababe..
Nyie wenyewe ndo mnaofanya wanawake wenu wakienda huko wakatae kurudi bongo .
Tutumie hela zangu my [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…