Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Ila Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi Bina
Huyu dada kwani naye ana matatizo kwenye ndoa yake?

Clip yake moja niliona anasema bedroom siyo mahali pa maombi
Ni mahala pa kushughulikia,
Akasema yeye ni mchungaji kanisani,akiwa nyumbani ni mke,anashughulika bedroom.
 
Ila Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kwani yule ni mchaga sio mnyaki? Apambane tu iko siku Mungu atampa haki yake ya uaminifu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Aaa sana,una enjoy kabisa, hata kama ndugu hawafurahii mausiano yenu kama wenyewe mnapendana maisha yanaenda tu.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mwanamke ukimpenda mwanaume utakuwa unampelekesha raha ya mwanaume awe kichwa Cha nyumba bana Sasa wewe mama una play role ya mume hainogi
 
Hivi hawezagi kuongea kawaida maana Mimi naonaga ka anatumia nguvu nyingi sana sauti Hadi inakaruza si awe anaongea kawaida tu. Dada mzuri ila ile sauti sio kabisa
Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisiongee tu kawaida?
Akiongea taratibu tu ana sauti bomba,na Ile lafudhi yake ya kaskazini basi sauti inakuwa nzuri..

Ila sasa anatumia nguvu kuongea sauti ya kumwaruza kama anafoka hivi,
Ile sauti ya mikwaruzo inaumiza masikio ,,, Kuna muda nikiona mtu anapayuka sana nahisi koo langu linaumia.

Mwakaseghe anaongeaga kawaida tu na watu wanamuelewa sana,wansfurika kwenye mikutano yake

Sasa Hawa wapentecoste wengi wanaona bila kupayuka ni kama hawajahubiri.
 
Ila Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Makungwi wa kufundisha wengine ndoa huku zao chumgu tele, ila ka ana mvumilia ni Kwa Ajili ya biashara Yao ya Utumishi
 
Mwanamke ukimpenda mwanaume utakuwa unampelekesha raha ya mwanaume awe kichwa Cha nyumba bana Sasa wewe mama una play role ya mume hainogi
Mwanaume kuyumba ni shida sana, Unakuwa kama yule dada superwoman anaanza kulalamika Mme hatunzi familia

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Bina
Huyu dada naye ana matatizo kwenye ndoa yake?

Clip yake moja niliona anasema bedroom siyo mahali pa maombi
Ni mahala pa kushughulikia,
Akasema yeye ni mchungaji kanisani,akiwa nyumbani ni mke,anashughulika bedroom.
Watu ka Hawa huko ndani kwao Huwa Kuna waka moto, hafu mtu akupendaye Kwa dhati hataki mbwembwe nyingi vile anakupenda anakuona malaika hata ukiwa na chongo ataita makengeza.
Hawa makungwi Huwa mapenzi ysnawatesa mno
 
Anatumia zile changamoto zake kuwa fundisha wengine , nilionaga mama mmoja ilikuwa kazi zake kuwa fundisha watoto wa wengine binti zake ndoa kila mmoja zinavunjika

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisongee tu kawaida?
Akiongea taratibu tu ana sauti bomba,na Ile lafudhi yake ya kaskazini basi sauti inakuwa nzuri..

Ila sasa anatumia nguvu kuongea sauti ya kumwaruza kama anafoka hivi,
Ile sauti ya mikwaruzo inaumiza masikio ,,, Kuna muda nikiona mtu anapayuka sana nahisi koo langu linaumia.

Mwakaseghe anaongeaga kawaida tu na watu wanamuelewa sana,wansfurika kwenye mikutano yake

Sasa Hawa wapentecoste wengi wanaona bila kupayuka ni kama hawajahubiri.
[emoji2][emoji2] hata Mimi Huwa namshangaa she is beautiful ila sauti Huwa inahatibu hata ujumbe anaotaka kuhuburi, Mimi binafsi Huwa napenda kusoma anachoandika kuliko kuhubiri maana ile sauti inachosha Hadi naona na mimi naumia. Ila wachungaji walokole wengi wanapenda kuongea hivo wakifikiria ndio vizuri kumbe wanaharibu hata ukiongea kawaida unaeleweka tu mbona ma padri huongea kiustaarabu na tunawaelewa tu vizuri bila shida.
Kiukweli hyo sauti kwangu hapana.
 
Ila Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mmh binamu kwani anateseka na ndoa yake? Naamini hata wao Wana ups and downs kama sisi tu; ila suala la kusema anateseka kwenye ndoa; nafikiri wengi wetu hapa hatuna uhakika nalo. Fact that alipambana hadi yeye akawa mshindi, haimaanishi anateseka sasa hivi. Sio Kila mtu anapata ndoa smoothly, especially kwenye ndoa ambazo zimebeba "purpose" kubwa kama Ile ya kina Rose. Sio rahisi utoke tu from nowhere na ukamlazimisha mtu akuoe; hadi anakubali kukuoa it means kuna sababu ameipata ya yeye kukuoa. As a matter of fact; as Christians hatuoani tu kwa sababu ya upendo ambao leo unaweza ukawepo na kesho ukapungua; tunaoa kwa sababu ya "kusudi" ambalo Mungu ameweka kati yetu.

Plus we learn to grow in love. Unaweza ukamuoa mtu kwa sababu ana mimba yako tu; ila huko mbeleni ukaona daah kumbe huyu anafaa kuwa mke kweli, so ukakaa ukatulia kwelikweli. Na wapo wanaoana kwa upendo tu, ila ndani wanaishi kwa majuto

Kuhusu kumlinda mumewe; nafikiri ni wajibu wa kila mume/mke kumlinda mwenza wake physically na spiritually. Sisi tu ambao waume zetu hawajulikani; tunawalinda kwelikweli; sembuse kwa Shaboka mwenye influence yake na anakutana na wanawake wa kila aina daily? Hivi mnawajua mabinti wa kilokole walivyojaa mitego na hizo "daddy this, daddy that"?
 
Ni vile amejipa jukumu la kupenda ambalo ni la mume. Mwanaume ukimbana ni kero na Hawa viumbe hata uwape Nini Huwa hawatulii asijichoshe
Mbona tuliotulia tupo mkuu

Ni mentality Tu za kipuuzi wanaume wengine wanakua nazo

Mimi nipo nyumbani Leo ntacheza na watoto nmeshapika makange pilau mchana ingawa wameyaponda nmezidisha vitunguu [emoji23]

Saa 11 tutaanza kucheki mechi

Saa mbili usiku tutacheki movie Netflix kuna series inaitwa sweet tooth familia nzima tunaangalia
Saa nne au tano wote kulala ntasali na watoto chumbani au mama Yao atasali nao

Kesho saa mbili asubuhi kanisani

Tukirudi either tucheki mpira au tubishane siasa na kijana wangu yeyote hapa [emoji23] maana two weeks zmepita naulizwa kwanini wewe Baba unampenda Samia na sio magufuli nkamwambia sababu ameniongeza mshahara kikawaka wanauliza amekuongeza sh ngapi nkajua swali la mtego nkagoma.ndo mpaka Leo wameshikilia Baba unalipwa sh ngap

Family is everything it is a very powerful institute
Na haya matatizo yote tunaangalia hapa source ni family
 
Back
Top Bottom