Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hivi BinaIla Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ha ha ha kwani yule ni mchaga sio mnyaki? Apambane tu iko siku Mungu atampa haki yake ya uaminifuIla Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2] ulikuwa utani tu mabeyo si anazaa kabisa angel aiseeInamaana angle ilikua aolewe na mabeyo au utani tu
Mwanamke ukimpenda mwanaume utakuwa unampelekesha raha ya mwanaume awe kichwa Cha nyumba bana Sasa wewe mama una play role ya mume hainogiAaa sana,una enjoy kabisa, hata kama ndugu hawafurahii mausiano yenu kama wenyewe mnapendana maisha yanaenda tu.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Umaarufu una Raha na shida zake vile vile
Kuna viumbe ni selfish sana na vemejipa haki kuumiza hata wengineNdivyo ilivyo, ila wakifanyiwa wao wanatukanywa wanawake wote duniani kasoro mama yake
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisiongee tu kawaida?Hivi hawezagi kuongea kawaida maana Mimi naonaga ka anatumia nguvu nyingi sana sauti Hadi inakaruza si awe anaongea kawaida tu. Dada mzuri ila ile sauti sio kabisa
Ningekuwa mimi ningebadilisha gia angani taratiibu naacha kuongelea habari za ndoaNdio huyo huyo
Makungwi wa kufundisha wengine ndoa huku zao chumgu tele, ila ka ana mvumilia ni Kwa Ajili ya biashara Yao ya UtumishiIla Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwanaume kuyumba ni shida sana, Unakuwa kama yule dada superwoman anaanza kulalamika Mme hatunzi familiaMwanamke ukimpenda mwanaume utakuwa unampelekesha raha ya mwanaume awe kichwa Cha nyumba bana Sasa wewe mama una play role ya mume hainogi
Watu ka Hawa huko ndani kwao Huwa Kuna waka moto, hafu mtu akupendaye Kwa dhati hataki mbwembwe nyingi vile anakupenda anakuona malaika hata ukiwa na chongo ataita makengeza.Hivi Bina
Huyu dada naye ana matatizo kwenye ndoa yake?
Clip yake moja niliona anasema bedroom siyo mahali pa maombi
Ni mahala pa kushughulikia,
Akasema yeye ni mchungaji kanisani,akiwa nyumbani ni mke,anashughulika bedroom.
Shida sana Mungu atuandalie mataji kwakweliKuna viumbe ni selfish sana na vemejipa haki kuumiza hata wengine
Very true ukiona watu wanazeeka ujue mwanamke kamvumilia mwanaume sana aisee. Wanaume hutulia wakianza kuzeeka na kuishiwa nguvu huku kashampa mkewe makovuShida sana Mungu atuandalie mataji kwakweli
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Anatumia zile changamoto zake kuwa fundisha wengine , nilionaga mama mmoja ilikuwa kazi zake kuwa fundisha watoto wa wengine binti zake ndoa kila mmoja zinavunjikaWatu ka Hawa huko ndani kwao Huwa Kuna waka moto, hafu mtu akupendaye Kwa dhati hataki mbwembwe nyingi vile anakupenda anakuona malaika hata ukiwa na chongo ataita makengeza.
Hawa makungwi Huwa mapenzi ysnawatesa mno
Ni kweli kabisa na mke akisema ndoa basi ujue kavumilia haswa imebaki kupewa medali tuVery true ukiona watu wanazeeka ujue mwanamke kamvumilia mwanaume sana aisee. Wanaume hutulia wakianza kuzeeka na kuishiwa nguvu huku kashampa mkewe makovu
[emoji2][emoji2] hata Mimi Huwa namshangaa she is beautiful ila sauti Huwa inahatibu hata ujumbe anaotaka kuhuburi, Mimi binafsi Huwa napenda kusoma anachoandika kuliko kuhubiri maana ile sauti inachosha Hadi naona na mimi naumia. Ila wachungaji walokole wengi wanapenda kuongea hivo wakifikiria ndio vizuri kumbe wanaharibu hata ukiongea kawaida unaeleweka tu mbona ma padri huongea kiustaarabu na tunawaelewa tu vizuri bila shida.Yaani hata mm huwa najiuliza, kwanini aisongee tu kawaida?
Akiongea taratibu tu ana sauti bomba,na Ile lafudhi yake ya kaskazini basi sauti inakuwa nzuri..
Ila sasa anatumia nguvu kuongea sauti ya kumwaruza kama anafoka hivi,
Ile sauti ya mikwaruzo inaumiza masikio ,,, Kuna muda nikiona mtu anapayuka sana nahisi koo langu linaumia.
Mwakaseghe anaongeaga kawaida tu na watu wanamuelewa sana,wansfurika kwenye mikutano yake
Sasa Hawa wapentecoste wengi wanaona bila kupayuka ni kama hawajahubiri.
Mmh binamu kwani anateseka na ndoa yake? Naamini hata wao Wana ups and downs kama sisi tu; ila suala la kusema anateseka kwenye ndoa; nafikiri wengi wetu hapa hatuna uhakika nalo. Fact that alipambana hadi yeye akawa mshindi, haimaanishi anateseka sasa hivi. Sio Kila mtu anapata ndoa smoothly, especially kwenye ndoa ambazo zimebeba "purpose" kubwa kama Ile ya kina Rose. Sio rahisi utoke tu from nowhere na ukamlazimisha mtu akuoe; hadi anakubali kukuoa it means kuna sababu ameipata ya yeye kukuoa. As a matter of fact; as Christians hatuoani tu kwa sababu ya upendo ambao leo unaweza ukawepo na kesho ukapungua; tunaoa kwa sababu ya "kusudi" ambalo Mungu ameweka kati yetu.Ila Kwa alipofikia akomae TU,Wanawake a kichaga Kwa kupambania Ndoa wako vzr nawasifi mnooo!!!
Na Kwa vile ye ni mchungaji kungwi acha Ndoa imetese Ili afurahishe watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio medali tu na maua yakeNi kweli kabisa na mke akisema ndoa basi ujue kavumilia haswa imebaki kupewa medali tu
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Mbona tuliotulia tupo mkuuNi vile amejipa jukumu la kupenda ambalo ni la mume. Mwanaume ukimbana ni kero na Hawa viumbe hata uwape Nini Huwa hawatulii asijichoshe