Angel Benard aolewa mara ya pili

Na pale alipo naskia Ana 75 years
Wazamani sana kapigana hadi vita yakagera miaka ya 1977 , lakini ona alivyo na kujitunza pia kuna saidia tafuta wa rika lake huenda wengine hata kutembea hawawezi, ila kumtumikia Mungu kuna faida sana tena ukienda kwa uaminifu

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hela nadhani inachangia.

Hana Dhambi nyingi zinamsaidia.

Huyu baba Ana neno na hana majigambo
 
Hela nadhani inachangia.

Hana Dhambi nyingi zinamsaidia.

Huyu baba Ana neno na hana majigambo
Eti hana dhambi, hapana dhambi anazo maana bado anaishi duniani japo kuna kuna watakatifu wanao ishi, lakuwa na dhambi au kutokuwa nazo anajua Mungu mwenyewe,,

ukimtumika Mungu kwa uaminifu anakutunza

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ninachompenda mwakasege hana muda wa kuengelea mambo ya watu yuko busy na neno
Muda haumtoshi wakupiga majungu, mtu aandaye masomo,/mara kufunga ili Mungu akupe vitendea kazi, aandike vitabu bado watoto wanakuhitaji bado Mke anakuhitaji huo muda wa majungu utoke wapi [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mke wa Sugu alishaolewa before hajakutana na Sugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…