Angel Benard aolewa mara ya pili

Manabii wa sikuhizi ni watu machizi kweli yani nabii anasutana mitandaoni na kutetea uzinifu, maajabu hayaishi
 
Biblia ilishasema ukimuacha mume wako na kuolewa na mwanaume mwingine umezini. Sasa Hawa matapeli wanafarijuana kwenye dhambi. Huyo bashando alishaachana na mke wake.
Jambo jema angefanyaje sasa abaki tu bila kuolewa tena aendelee kuzurura na wanaume wengine au afanyaje ili ionekane kafanya jambo sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo jema angefanyaje sasa abaki tu bila kuolewa tena aendelee kuzurura na wanaume wengine au afanyaje ili ionekane kafanya jambo sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo Kristo anasema ukitaka kuniguata ujikane mwenyewe. Sasa Kama ndoa ilivunjika unafanyaje? Unafuata Biblia au mwili wako.

Yesu alishasema sio wote wanaomtumikiaa wataiona mbingu bali wale watendao mapenzi ya Mungu. Hai akina Angel wanataka kumtumia Mungu huku wakienda tofauti na mapenzi ya Mungu, Ni Bora awe mpagani ijulikane moja.
 
Sijui kama nimekuelewa. Kwa hiyo Angel achague kama anaolewa tena basi aikane dini abaki kuwa mpagani? Na kama anaendelea na dini yake basi asizini na asiolewe tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaiomba na post ya huyo naomi
 
Utajuaje umepewa na shetani
 
Tunaiomba na post ya huyo naomi
#karibu_tuyajenge_na_sio_kuyabomoa

SASA WALE WAKUSEMA NASEMA UONGO MPO
HUYO NI ANGEL BERNARD HARUSI IMEFUNGWA JUMAMOSI

UPANDE WA COMMENTS PICHA IKO VIZURI SANA TU YA BIBI HARUSI Angel Bernard NA BWANA HARUSI Mr. Masanja na mfungisha harusi BWANA MUZUNGU hata hajui kuwa BIBI HARUSI anamkosea MUNGU , Mzungu wa watu anafungisha hasichokijua yaani hii dunia acha tu shetani ni mshenzi wa tabia

"Osinach amekuwa reference ya makosa... Acha maisha yaendelee, bahati nzuri kila mtu atapambana na hali yake, na mwisho wa siku ukweli utakuwa wazi ni nani meenye kuwa na matatizo zaidi, hakuna mkamilifu ila yupo mwenye kuwa chanzo cha yote... Hivi kama mke anatoka labda nje ya ndoa mume akawa mkali ndo kusema mume ni mbabe? Hao watoto watano wote ni wa mtu mmoja au watu watatu au wanne? Tuanzieni hapo mtajua ukweli acheni kumtupia makosa kijana wa watu.."
 
Post ya nyuma na hii
 
Kwenye ukristo hakuna kuachana hadi kifo kiwatenganishe
 
Kikubwa nabarikiwa na huduma/nyimbo zake, hayo mengine hayanihusu sana kuna wengine hapa tu wadhambi yakiwekwa hadharani tutapoteana, ndo maana imeandikwa usihukumu.....
 
😳😳ila hawa watumishi wa siku hizi🙌🏽nimeishia siku akileta sadaka ya ukombozi😁
Huu ukombozi ni upi na Yesu alimaliza yote kalvary???
Ukombozi ushindi mamlaka vyote vilipatikana huko
........Kwenye mahusiano ya KE/ME ukiona watu wameachana waheshimu tu ndani kuna mengi wakati mwingine hayasemeki
 
Kwenye ukristo hakuna kuachana hadi kifo kiwatenganishe
Watu huachana kwa uzinzi tu. We akizini nje umejua nenda na ushahidi talaka nje nje
Ila tu talaka itaandikwa mahakamani shauri litaanzia kanisani.
 
Huyo bashando anadai kuwa anauwezo wa kumkomboa Sakafu. Hivi kweli mwanadamu anao uwezo wa kumkomboa mwanadamu mwenzake.
 
Watu huachana kwa uzinzi tu. We akizini nje umejua nenda na ushahidi talaka nje nje
Ila tu talaka itaandikwa mahakamani shauri litaanzia kanisani.
Ila wengine hukutana na mateso kupindukia,bado tu avumilie,ila hakuna kisichokuwa na faida kikakosa hasara, wanawake huipenda hii sheria ya kifo kiwatenganishe,lkn wengine wakiingia hii sheria huwa ni adhabu kubwa mno kwao,wanaposhindwa kujinasua kutoka kwenye ndoa zenye vichomi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…