Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

UPDATES;
Mapya yaibuka sakata la Angel Bernard na ndoa mpya, Bashando ambae ni kaka ake na Shaboka ambae amezaa na Angel, aibuka kumtetea shemeji yake wa kudumu kama alivyomuita! aahidi kusimama nae mpaka mwisho[emoji116][emoji116][emoji116]

Kutoka kwa page ya nabii Bashando;

Neno moja ninalolijua kwako ni kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu uliyepakwa mafuta maalumu kwa ajili ya kusifu na kuabudu. Lakini cha pili ninachoweza kusema ni kwamba wewe ni shemeji yangu wa kudumu maana una mtoto wetu. Hivyo basi kwa ajili ya haya mambo mawili nina kila sababu ya kusimama na wewe katika hali zote ambazo nina uwezo wa kusimama nawe..
Nimesoma post ya Naomi jinsi anavyotafuta kukuchafua na kukushusha na ianibidi nitafakari kabla ya kumuunga mkono au kupingana nae katika hoja zake. Na mwisho wa siku nimeamua kuzijibu hoja zake kwa kutoa ushauri hadharani wamba mtumishi wa Mungu na shemeji yangu Angel Benard wewe songa mbele katika huduma. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu ila bado ninayaheshimu sana mafuta yako.
Hapa duniani hakuna mtu aliyekamilika ndiyo maana hata Naomi anaejaribu kukuchafua, yeye mwenyewe ana watoto wa tano bila ndoa, maana aliolewa na teja la kizungu mwisho wa siku likazuiwa na mahakama lisiwakaribie watoto baada ya kujaribu kuwabaka, hivyo naamini uchungu wake na upuru ndiyo vinamsababisha atake kuuharibu utumishi wako na kulishusha jina lako.
Mdogo wangu Angel najua kabisa huyu mama upuru hafanyi haya kwa kutaka mwenyewe ila anapewa maelekezo na Ndg Sakafu ambaye pia ni baba wa watoto wako... Naomba nitumia nafasi hii kumshauri huyu bwana mdogo Sakafu kwamba anatakiwa wanza kubadili jina, alikatae jina la Sakafu ikiwezekana ajiite Mawingu ili thamani yake ipande. Kazi ya Sakafu huwa ni kuwa chini na kukanyagwa hivyo haya anayoyapata kinachomsababishia ni jina lake tu na si vinginevyo. Jina lake lina roho ya kuwapeleea watu wamkanyagie kila kitu chake, siku akija na sadaka ya ukombozi nitamsaidia ili hiyo roho imuache. Lakini pia namshauri ajifunze kupambana na kuwa na roho ya shukrani.
Wote tunajua kuwa wewe ndiyo ulikuwa unamtunza na hata hapo Marekani amefika kwa msaada wako, hivyo hata ukimuacha bado hana sababu ya kulaumu maana umemsaidia kuvuka bahari ambayo asingeweza kuivuka, cha kufanya yeye atafute makaratasi ili afanye vibarua atengeneze pesa na aache kulia lia.
Dunia hii ukipata mtu hata wa kukufikisha Burundi tu unapaswa kumshukuru Mungu, ndiyo maana mimi huwa namshukuru sana Dorah kwa sababu yeye ndiyo mtu wa wanza kunipandisha ndege kimataifa na kwenda Nigeria na nchi kadhaa..
Sasa mtu umefikishwa Marekani alafu bado unamlilia lilia mwanamke anaekutunza ili aendelee kukutunza badala ya kupambana ili usaidie ndugu zako na watoto wako, hapana hii haikubaliki. Hata akitumia wake za mateja kukuchafua mdogo wangu Angel wewe songa mbele wala usiwajibu, Mungu atakupigania na sisi tutakutetea...
Mungu akubariki sana Mtumishi Wa Mungu Angel Benard Lyamba...
Manabii wa sikuhizi ni watu machizi kweli yani nabii anasutana mitandaoni na kutetea uzinifu, maajabu hayaishi
 
Biblia ilishasema ukimuacha mume wako na kuolewa na mwanaume mwingine umezini. Sasa Hawa matapeli wanafarijuana kwenye dhambi. Huyo bashando alishaachana na mke wake.
Jambo jema angefanyaje sasa abaki tu bila kuolewa tena aendelee kuzurura na wanaume wengine au afanyaje ili ionekane kafanya jambo sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hapo Kristo anasema ukitaka kuniguata ujikane mwenyewe. Sasa Kama ndoa ilivunjika unafanyaje? Unafuata Biblia au mwili wako.

Yesu alishasema sio wote wanaomtumikiaa wataiona mbingu bali wale watendao mapenzi ya Mungu. Hai akina Angel wanataka kumtumia Mungu huku wakienda tofauti na mapenzi ya Mungu, Ni Bora awe mpagani ijulikane moja.
 
Sijui kama nimekuelewa. Kwa hiyo Angel achague kama anaolewa tena basi aikane dini abaki kuwa mpagani? Na kama anaendelea na dini yake basi asizini na asiolewe tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATES;
Mapya yaibuka sakata la Angel Bernard na ndoa mpya, Bashando ambae ni kaka ake na Shaboka ambae amezaa na Angel, aibuka kumtetea shemeji yake wa kudumu kama alivyomuita! aahidi kusimama nae mpaka mwisho[emoji116][emoji116][emoji116]

Kutoka kwa page ya nabii Bashando;

Neno moja ninalolijua kwako ni kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu uliyepakwa mafuta maalumu kwa ajili ya kusifu na kuabudu. Lakini cha pili ninachoweza kusema ni kwamba wewe ni shemeji yangu wa kudumu maana una mtoto wetu. Hivyo basi kwa ajili ya haya mambo mawili nina kila sababu ya kusimama na wewe katika hali zote ambazo nina uwezo wa kusimama nawe..
Nimesoma post ya Naomi jinsi anavyotafuta kukuchafua na kukushusha na ianibidi nitafakari kabla ya kumuunga mkono au kupingana nae katika hoja zake. Na mwisho wa siku nimeamua kuzijibu hoja zake kwa kutoa ushauri hadharani wamba mtumishi wa Mungu na shemeji yangu Angel Benard wewe songa mbele katika huduma. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu ila bado ninayaheshimu sana mafuta yako.
Hapa duniani hakuna mtu aliyekamilika ndiyo maana hata Naomi anaejaribu kukuchafua, yeye mwenyewe ana watoto wa tano bila ndoa, maana aliolewa na teja la kizungu mwisho wa siku likazuiwa na mahakama lisiwakaribie watoto baada ya kujaribu kuwabaka, hivyo naamini uchungu wake na upuru ndiyo vinamsababisha atake kuuharibu utumishi wako na kulishusha jina lako.
Mdogo wangu Angel najua kabisa huyu mama upuru hafanyi haya kwa kutaka mwenyewe ila anapewa maelekezo na Ndg Sakafu ambaye pia ni baba wa watoto wako... Naomba nitumia nafasi hii kumshauri huyu bwana mdogo Sakafu kwamba anatakiwa wanza kubadili jina, alikatae jina la Sakafu ikiwezekana ajiite Mawingu ili thamani yake ipande. Kazi ya Sakafu huwa ni kuwa chini na kukanyagwa hivyo haya anayoyapata kinachomsababishia ni jina lake tu na si vinginevyo. Jina lake lina roho ya kuwapeleea watu wamkanyagie kila kitu chake, siku akija na sadaka ya ukombozi nitamsaidia ili hiyo roho imuache. Lakini pia namshauri ajifunze kupambana na kuwa na roho ya shukrani.
Wote tunajua kuwa wewe ndiyo ulikuwa unamtunza na hata hapo Marekani amefika kwa msaada wako, hivyo hata ukimuacha bado hana sababu ya kulaumu maana umemsaidia kuvuka bahari ambayo asingeweza kuivuka, cha kufanya yeye atafute makaratasi ili afanye vibarua atengeneze pesa na aache kulia lia.
Dunia hii ukipata mtu hata wa kukufikisha Burundi tu unapaswa kumshukuru Mungu, ndiyo maana mimi huwa namshukuru sana Dorah kwa sababu yeye ndiyo mtu wa wanza kunipandisha ndege kimataifa na kwenda Nigeria na nchi kadhaa..
Sasa mtu umefikishwa Marekani alafu bado unamlilia lilia mwanamke anaekutunza ili aendelee kukutunza badala ya kupambana ili usaidie ndugu zako na watoto wako, hapana hii haikubaliki. Hata akitumia wake za mateja kukuchafua mdogo wangu Angel wewe songa mbele wala usiwajibu, Mungu atakupigania na sisi tutakutetea...
Mungu akubariki sana Mtumishi Wa Mungu Angel Benard Lyamba...
Tunaiomba na post ya huyo naomi
 
NIpo kwenye wokovu toka 2015.

Sometimes unaweza ukawa deep kwenye wokovu ila ukakosea mahesabu kwenye kuoa au kuolewa so ina maanisha usiachane nae?

Mungu anasema atakupa wa kufanana nawe, huoni kwamba ukikosa umakini shetani anaweza akakupa wa kwake ili akutoe kwenye kusudi la Mungu? Kipi bora hapo ubakie kutimiza makusudi ya shetani au utoke kwenye hiyo ndoa ukafanye mapenzi ya Mungu?

Mungu wetu amejaa rehema na fadhili na huruma tele, so he gives second chances.
Utajuaje umepewa na shetani
 
Tunaiomba na post ya huyo naomi
#karibu_tuyajenge_na_sio_kuyabomoa

SASA WALE WAKUSEMA NASEMA UONGO MPO
HUYO NI ANGEL BERNARD HARUSI IMEFUNGWA JUMAMOSI

UPANDE WA COMMENTS PICHA IKO VIZURI SANA TU YA BIBI HARUSI Angel Bernard NA BWANA HARUSI Mr. Masanja na mfungisha harusi BWANA MUZUNGU hata hajui kuwa BIBI HARUSI anamkosea MUNGU , Mzungu wa watu anafungisha hasichokijua yaani hii dunia acha tu shetani ni mshenzi wa tabia

"Osinach amekuwa reference ya makosa... Acha maisha yaendelee, bahati nzuri kila mtu atapambana na hali yake, na mwisho wa siku ukweli utakuwa wazi ni nani meenye kuwa na matatizo zaidi, hakuna mkamilifu ila yupo mwenye kuwa chanzo cha yote... Hivi kama mke anatoka labda nje ya ndoa mume akawa mkali ndo kusema mume ni mbabe? Hao watoto watano wote ni wa mtu mmoja au watu watatu au wanne? Tuanzieni hapo mtajua ukweli acheni kumtupia makosa kijana wa watu.."
 
Post ya nyuma na hii
 
TUsimhukumu kwa kigezo cha utumishi wake, what if mwenye shida alikua huyo mume? Ina maana alipaswa aendelee kuvumilia maumivu kwasababu yeye mlokole? Mlokole hana moyo? Hana hisia? Au walokole wamewekea some sort of bullet proof kwenye mioyo yao?

Why people are always negative?

As long as anaishi she deserves a husband kuliko kuwa mzinifu, acheni negative thinking au ndo nyie mkioa walokole mnawatesa mkijua talaka hakuna? Smh!
Kwenye ukristo hakuna kuachana hadi kifo kiwatenganishe
 
Kikubwa nabarikiwa na huduma/nyimbo zake, hayo mengine hayanihusu sana kuna wengine hapa tu wadhambi yakiwekwa hadharani tutapoteana, ndo maana imeandikwa usihukumu.....
 
UPDATES;
Mapya yaibuka sakata la Angel Bernard na ndoa mpya, Bashando ambae ni kaka ake na Shaboka ambae amezaa na Angel, aibuka kumtetea shemeji yake wa kudumu kama alivyomuita! aahidi kusimama nae mpaka mwisho👇👇👇

Kutoka kwa page ya nabii Bashando;

Neno moja ninalolijua kwako ni kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu uliyepakwa mafuta maalumu kwa ajili ya kusifu na kuabudu. Lakini cha pili ninachoweza kusema ni kwamba wewe ni shemeji yangu wa kudumu maana una mtoto wetu. Hivyo basi kwa ajili ya haya mambo mawili nina kila sababu ya kusimama na wewe katika hali zote ambazo nina uwezo wa kusimama nawe..
Nimesoma post ya Naomi jinsi anavyotafuta kukuchafua na kukushusha na ianibidi nitafakari kabla ya kumuunga mkono au kupingana nae katika hoja zake. Na mwisho wa siku nimeamua kuzijibu hoja zake kwa kutoa ushauri hadharani wamba mtumishi wa Mungu na shemeji yangu Angel Benard wewe songa mbele katika huduma. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu ila bado ninayaheshimu sana mafuta yako.
Hapa duniani hakuna mtu aliyekamilika ndiyo maana hata Naomi anaejaribu kukuchafua, yeye mwenyewe ana watoto wa tano bila ndoa, maana aliolewa na teja la kizungu mwisho wa siku likazuiwa na mahakama lisiwakaribie watoto baada ya kujaribu kuwabaka, hivyo naamini uchungu wake na upuru ndiyo vinamsababisha atake kuuharibu utumishi wako na kulishusha jina lako.
Mdogo wangu Angel najua kabisa huyu mama upuru hafanyi haya kwa kutaka mwenyewe ila anapewa maelekezo na Ndg Sakafu ambaye pia ni baba wa watoto wako... Naomba nitumia nafasi hii kumshauri huyu bwana mdogo Sakafu kwamba anatakiwa wanza kubadili jina, alikatae jina la Sakafu ikiwezekana ajiite Mawingu ili thamani yake ipande. Kazi ya Sakafu huwa ni kuwa chini na kukanyagwa hivyo haya anayoyapata kinachomsababishia ni jina lake tu na si vinginevyo. Jina lake lina roho ya kuwapeleea watu wamkanyagie kila kitu chake, siku akija na sadaka ya ukombozi nitamsaidia ili hiyo roho imuache. Lakini pia namshauri ajifunze kupambana na kuwa na roho ya shukrani.
Wote tunajua kuwa wewe ndiyo ulikuwa unamtunza na hata hapo Marekani amefika kwa msaada wako, hivyo hata ukimuacha bado hana sababu ya kulaumu maana umemsaidia kuvuka bahari ambayo asingeweza kuivuka, cha kufanya yeye atafute makaratasi ili afanye vibarua atengeneze pesa na aache kulia lia.
Dunia hii ukipata mtu hata wa kukufikisha Burundi tu unapaswa kumshukuru Mungu, ndiyo maana mimi huwa namshukuru sana Dorah kwa sababu yeye ndiyo mtu wa wanza kunipandisha ndege kimataifa na kwenda Nigeria na nchi kadhaa..
Sasa mtu umefikishwa Marekani alafu bado unamlilia lilia mwanamke anaekutunza ili aendelee kukutunza badala ya kupambana ili usaidie ndugu zako na watoto wako, hapana hii haikubaliki. Hata akitumia wake za mateja kukuchafua mdogo wangu Angel wewe songa mbele wala usiwajibu, Mungu atakupigania na sisi tutakutetea...
Mungu akubariki sana Mtumishi Wa Mungu Angel Benard Lyamba...
😳😳ila hawa watumishi wa siku hizi🙌🏽nimeishia siku akileta sadaka ya ukombozi😁
Huu ukombozi ni upi na Yesu alimaliza yote kalvary???
Ukombozi ushindi mamlaka vyote vilipatikana huko
........Kwenye mahusiano ya KE/ME ukiona watu wameachana waheshimu tu ndani kuna mengi wakati mwingine hayasemeki
 
Kwenye ukristo hakuna kuachana hadi kifo kiwatenganishe
Watu huachana kwa uzinzi tu. We akizini nje umejua nenda na ushahidi talaka nje nje
Ila tu talaka itaandikwa mahakamani shauri litaanzia kanisani.
 
Huyo bashando anadai kuwa anauwezo wa kumkomboa Sakafu. Hivi kweli mwanadamu anao uwezo wa kumkomboa mwanadamu mwenzake.
 
Watu huachana kwa uzinzi tu. We akizini nje umejua nenda na ushahidi talaka nje nje
Ila tu talaka itaandikwa mahakamani shauri litaanzia kanisani.
Ila wengine hukutana na mateso kupindukia,bado tu avumilie,ila hakuna kisichokuwa na faida kikakosa hasara, wanawake huipenda hii sheria ya kifo kiwatenganishe,lkn wengine wakiingia hii sheria huwa ni adhabu kubwa mno kwao,wanaposhindwa kujinasua kutoka kwenye ndoa zenye vichomi,
 
Back
Top Bottom