Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Sawa ni maisha yake personal.
Ila anamatatizo ambayo Mimi na wewe hatuyajui.
Ukitoa huyo mume mpya tayari kashazaa na wanaume watatu tofauti.
Waliomkimbia waliona nini?
Ni kioo Cha jamii hivyo criticism zitakuwepo tu.
 
Habari.

Msanii ANGEL BERNARD ameolewa kwa Mara ya pili.

Mara ya kwanza aliolewa na producer wa nyimbo za injili Godsave Sakafu.

Kulikoni wanamziki wa nyimbo za injili wa kike.

Huyu hapa
View attachment 2608977

View attachment 2608980
Du kakamata fursa. Hawa waimbaji nyimbo za Dini wengi ni wasanii tu. Hata yule Upendo kilahiro aliolewa tena, Flora Mbasha pia. Ndoa ya Christina Shusho imekufa, ya Martha mwaipaja pia imekufa.
 
Wanamuziki wa nyimbo za injili wa siku hizi ni chenga tupu. Kwanza nyimbo wanazoimba hazina utukufu kwa Mungu, wanaimba sawa na wanamuziki wa kidunia tu. Huyu kaolewa mara ya pili, kaharibu ushuhuda wake wa maisha ya kikristo, nyimbo zake hazina maana tena kama tu yeye anashindwa kuishi maisha anayoimba
 
Licha ya kwamba na mimi nina dhambi zangu.
Anyway inabidi sasa Angel aache kuimba muziki wa INJILI maana huko ni kudhalilisha Ukristo waziwazi.
Afanye ishu zingine.
hawana aibu wale, dhamiri zao zimekufa, wanaboronga na nyimbo za injili wanaimba. Ila wajue Mungu hadhihakiwi akiimba tena wimbo utadoda hautakuwa na utukufu wa Mungu. Bora hawa waimbaji wakishindwa maisha ya wokovu bora wakaimbe nyimbo za kidunia, za injili wawaachie washindi wanaoshindana na tamaa za kidunia
 
Back
Top Bottom