Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
waimba kwaya T. A. G sio walokole au?Aliyekwambia waimbaji kwaya ni walokole nani?
Km ulikuwa hujui waimbaji kwaya 98%sio walokole popote pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waimba kwaya T. A. G sio walokole au?Aliyekwambia waimbaji kwaya ni walokole nani?
Km ulikuwa hujui waimbaji kwaya 98%sio walokole popote pale
Ndio, anaitwa happy mkewe, aliolewa aliachika kwa ajiri ya uzaz, sugu kampambania mpaka kazaa.Mke wa Sugu alishaolewa before hajakutana na Sugu?
Makungwi wa kufundisha wengine ndoa huku zao chumgu tele, ila ka ana mvumilia ni Kwa Ajili ya biashara Yao ya Utumishi
Haya makanisa na huduma za kiimani zisizo na muundo wa kueleweka ni biashara za watu ndio maana hawajengi makanisa.Biashara tena?! [emoji3][emoji28]
Naikubali sana hiyo nyimbo yake ya "nikumbushe"Habari,
Msanii Angel Bernard ameolewa kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza aliolewa na Producer wa Nyimbo za Injili Godsave Sakafu.
View attachment 2611345
Angel akiwa na Godsave Sakafu siku ya Sendoff yake Julai 2015
Picha zake na mume wake mpya hizi hapa:-
Kulikoni wanamuziki wa nyimbo za injili wa kike?
Yule kuna kipindi jibapa lilikuwa linampelekesha hadi akaanzishiwa na uzi hapaMwakasege ni wa pekee binamu
Yaani yule baba siku nikiskia ana makando kando daahhhh
Yuko vzr mnoo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya bana baba swaleheUna kitu Dada heaven utafika mbali
Kwa kweli ni changamotoHahaha, nimechekaa..utasikia yessss daddy Nicky yessss!...jamaani kazi wanayo mama wachungaji
aliyepelekeshwa na jibapa mpaka akatukana majirani sio Mwakasege,alikuwa mzee wa upako,mzee wa transifoma,mzee waubungo kibanguYule kuna kipindi jibapa lilikuwa linampelekesha hadi akaanzishiwa na uzi hapa
Oooooh nilikuwa nimechanganya majinaaliyepelekeshwa na jibapa mpaka akatukana majirani sio Mwakasege,alikuwa mzee wa upako,mzee wa transifoma,mzee waubungo kibangu
Mbona kinyonge sana mwanangu 😂😂Haya bana baba swalehe
Lazima anamjua 😂 Ila siwezi mtajaOh
Ni muda mrefu eeeh?
Ila Mzee atakuwa anamjua maana naye ni wa kitambo
Kumbe!Lazima anamjua 😂 Ila siwezi mtaja
Maana Ni mwanasiasa mkuu
Go deeper Man of God😂Hahaha, nimechekaa..utasikia yessss daddy Nicky yessss!...jamaani kazi wanayo mama wachungaji
[emoji23][emoji23]Sasa ndugu yanguKumbe!
Mbona hunipi koneksheni sasa na mimi nile Kwa urefu wa kamba
Hahahaaaa!Hongera classmate
Umekaa umetulia na husemi[emoji23][emoji23]Sasa ndugu yangu
Acha uongo!!Yule kuna kipindi jibapa lilikuwa linampelekesha hadi akaanzishiwa na uzi hapa