Angel Benard aolewa mara ya pili

Angel Benard aolewa mara ya pili

Naskia hiz mambo Rose yuko vizur toka yuko secondari hukoo msalato(kama sijakosea) alikua ni mtu wa dini sana mambo ya ukwata alikua wale madada fire kwenye hiz habar.. sishangai kuwa yeye ndio mwenye hii biashara

biashara[emoji33][emoji1787][emoji1787]
 
Hata Rosemary Mizizi/Mallya mwanzo wakati nafatilia mafundisho yake ya mahusiano nilijuaga ndo yake itakua hot hot, mburee[emoji79] siku moja akaja tueleza walishatalikiana.[emoji18]
Wee... kwelii?!!!yule dada kaachika?!!
 
Wee... kwelii?!!!yule dada kaachika?!!

kuna kipindi alielezea mapito ya ndoa yake then mwaka jana nadhani akma sio mwaka huu mwanzoni alisema anamshukuru Mungu amefikia tamati ya swala lake la talaka. Huwa anafundisha kupitia mifano yake yeye mwenyewe.
 
Haya mambo hayana mwenyewe,hakuna kungwi Wala fundi Wa Ndoa
 
UPDATES;
Mapya yaibuka sakata la Angel Bernard na ndoa mpya, Bashando ambae ni kaka ake na Shaboka ambae amezaa na Angel, aibuka kumtetea shemeji yake wa kudumu kama alivyomuita! aahidi kusimama nae mpaka mwisho👇👇👇

Kutoka kwa page ya nabii Bashando;

Neno moja ninalolijua kwako ni kwamba wewe ni mtumishi wa Mungu uliyepakwa mafuta maalumu kwa ajili ya kusifu na kuabudu. Lakini cha pili ninachoweza kusema ni kwamba wewe ni shemeji yangu wa kudumu maana una mtoto wetu. Hivyo basi kwa ajili ya haya mambo mawili nina kila sababu ya kusimama na wewe katika hali zote ambazo nina uwezo wa kusimama nawe..
Nimesoma post ya Naomi jinsi anavyotafuta kukuchafua na kukushusha na ianibidi nitafakari kabla ya kumuunga mkono au kupingana nae katika hoja zake. Na mwisho wa siku nimeamua kuzijibu hoja zake kwa kutoa ushauri hadharani wamba mtumishi wa Mungu na shemeji yangu Angel Benard wewe songa mbele katika huduma. Pamoja na mapungufu yote ya kibinadamu ila bado ninayaheshimu sana mafuta yako.
Hapa duniani hakuna mtu aliyekamilika ndiyo maana hata Naomi anaejaribu kukuchafua, yeye mwenyewe ana watoto wa tano bila ndoa, maana aliolewa na teja la kizungu mwisho wa siku likazuiwa na mahakama lisiwakaribie watoto baada ya kujaribu kuwabaka, hivyo naamini uchungu wake na upuru ndiyo vinamsababisha atake kuuharibu utumishi wako na kulishusha jina lako.
Mdogo wangu Angel najua kabisa huyu mama upuru hafanyi haya kwa kutaka mwenyewe ila anapewa maelekezo na Ndg Sakafu ambaye pia ni baba wa watoto wako... Naomba nitumia nafasi hii kumshauri huyu bwana mdogo Sakafu kwamba anatakiwa wanza kubadili jina, alikatae jina la Sakafu ikiwezekana ajiite Mawingu ili thamani yake ipande. Kazi ya Sakafu huwa ni kuwa chini na kukanyagwa hivyo haya anayoyapata kinachomsababishia ni jina lake tu na si vinginevyo. Jina lake lina roho ya kuwapeleea watu wamkanyagie kila kitu chake, siku akija na sadaka ya ukombozi nitamsaidia ili hiyo roho imuache. Lakini pia namshauri ajifunze kupambana na kuwa na roho ya shukrani.
Wote tunajua kuwa wewe ndiyo ulikuwa unamtunza na hata hapo Marekani amefika kwa msaada wako, hivyo hata ukimuacha bado hana sababu ya kulaumu maana umemsaidia kuvuka bahari ambayo asingeweza kuivuka, cha kufanya yeye atafute makaratasi ili afanye vibarua atengeneze pesa na aache kulia lia.
Dunia hii ukipata mtu hata wa kukufikisha Burundi tu unapaswa kumshukuru Mungu, ndiyo maana mimi huwa namshukuru sana Dorah kwa sababu yeye ndiyo mtu wa wanza kunipandisha ndege kimataifa na kwenda Nigeria na nchi kadhaa..
Sasa mtu umefikishwa Marekani alafu bado unamlilia lilia mwanamke anaekutunza ili aendelee kukutunza badala ya kupambana ili usaidie ndugu zako na watoto wako, hapana hii haikubaliki. Hata akitumia wake za mateja kukuchafua mdogo wangu Angel wewe songa mbele wala usiwajibu, Mungu atakupigania na sisi tutakutetea...
Mungu akubariki sana Mtumishi Wa Mungu Angel Benard Lyamba...
 
UPDATES;
Mapya yaibuka sakata la Angel Bernard na ndoa mpya, Bashando ambae ni kaka ake na Shaboka ambae amezaa na Angel, aibuka kumtetea shemeji yake wa kudumu kama alivyomuita! aahidi kusimama nae mpaka mwisho[emoji116][emoji116][emoji116]

Ila watu Kwa kuhukumu sijapata ona
Sisi wanadamu ni wadhambi sana ila kuhukumu ndo tunajua
Angel Bado hajapata ubavh wake wamuache aolewe tu
 
Sihitaji mbichi hizi
 
Ila watu Kwa kuhukumu sijapata ona
Sisi wanadamu ni wadhambi sana ila kuhukumu ndo tunajua
Angel Bado hajapata ubavh wake wamuache aolewe tu
Acheni kutetea dhambi. Kama mnataka dhambi a heni unafiki wa kujifanya mnamtumikia Mungu.
 
Biblia ilishasema ukimuacha mume wako na kuolewa na mwanaume mwingine umezini. Sasa Hawa matapeli wanafarijuana kwenye dhambi. Huyo bashando alishaachana na mke wake.
 
Back
Top Bottom