Angel Investors

Angel Investors

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
707
Wadau,

Kuuliza si ujinga.

"Angel Investors" ni watu wa aina gani na, je, hapa nchini Tanzania wapo?
 
Ni watu ambao wanakupa pesa ili uinvest, na wao wanakuwa kama share holders lakini hawahusiki kwenye day to day activities za biashara na hawafuatilii uendeshaji. Faida ikipatikana mgao unafanyika according to makubaliano.
Tanzania wapo wengi, mimi ni mmoja wao.
 
Basi kama wewe ni mmoja wao mimi nina idea kaka inahitaji only 20 million mwezi wa kwanza italeta income ya 2million baada ya miaka miwili kutakuwa na mpaka 10 million kwa mwezi
 
Wewe si ulisema biashara yako inahitajhi mtaji wa sh. mil. 5 - 7. Hiyo ya mil. 20 ni nyingine au ileile?
 
Ile ile but nimeiboresha na kuiandika tena ili iweze kufanyika country wide na kusatisfy soko zaidi then hata profit itaongezeka pia
 
Back
Top Bottom