Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kama wewe ni mmoja wao mimi nina idea kaka inahitaji only 20 million mwezi wa kwanza italeta income ya 2million baada ya miaka miwili kutakuwa na mpaka 10 million kwa mweziNi watu ambao wanakupa pesa ili uinvest, na wao wanakuwa kama share holders lakini hawahusiki kwenye day to day activities za biashara na hawafuatilii uendeshaji. Faida ikipatikana mgao unafanyika according to makubaliano.
Tanzania wapo wengi, mimi ni mmoja wao.
Basi kama wewe ni mmoja wao mimi nina idea kaka inahitaji only 20 million mwezi wa kwanza italeta income ya 2million baada ya miaka miwili kutakuwa na mpaka 10 million kwa mwezi
Ile ile but nimeiboresha na kuiandika tena ili iweze kufanyika country wide na kusatisfy soko zaidi then hata profit itaongezeka piaWewe si ulisema biashara yako inahitajhi mtaji wa sh. mil. 5 - 7. Hiyo ya mil. 20 ni nyingine au ileile?