Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Bado wanatengeneza maigizo tu kwanini kama kiongozi anaumwa wasitangaze tumfanyie sala?Wanajamvi,
Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki.
View attachment 2834679
Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.www.jamiiforums.com