Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

mamvi kibao anaficha aonekane jankii
Kutoka uzeeni kuja ujanani.
IMG-20220610-WA0004.jpg
 
Wanajamvi,

Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango alikuwa awe mgeni rasmi wa mkutano wa TAWIRI unaofanyika Dodoma, hata hivyo amewakilishwa na Angella Kairuki.

View attachment 2834679


Conference ilihamishiwa tena Dodoma?
 
Za chini chini barabara zinakwanguliwa na kufanyiwa marekebisho huko Buhigwe ni taarifa nimepewa hapa Herushingo sijui ni kweli au lah!
 
Hii inatia mashaka zaidi kutokana na Speculations ambazo tayari zipo kuhusu mtu huyu.
Nafikiri Serikali kwa sasa inapaswa kuujulisha umma juu ya suala hili. Kiongozi mmoja mkubwa (lakini asiwe Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa) anapaswa kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi juu ya jambo hili ili kuzima minong'ono isiyokuwa rasmi ambayo tayari imeanza kuenea kwa kasi ya ajabu.
Baada ya Kassim ni Mpango and then Mama...Mama sidhani kama atasema labda aje kwa mtindo wa Breaking News.
 
Back
Top Bottom