Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

Angela Kairuki amuwakilisha Dkt. Mpango kwenye mkutano wa TAWIRI

Chapeni kazi. Mungu ndiye mlinzi wa vyote. Hata ukijua au usipojua haibadilishi kitu
Wewe hujui ni nini maana ya uongozi. Na watanzania kama wewe wako wengi kweli kweli. Ukiwa kiongozi wa umma, unawajibika kwa umma na ni haki yao kujua afaya yako. Kama hutaki basi fanya shughuli zako na achana na uongozi. BTW Mungu kuwa mlinziwa vyote halina uhusiano wowote na hii hoja.
 
Sasa yeye kimbele mbele cha nini?
Haoni wengine wamefunga midomo?
Hapo ndo anapokosea. Lakini pia,yawezekana anapokuwa na mahudhulio,huko nyuma imepangwa ajibu nini kwa sababu huenda wanajua lazima hilo swali.
Japo labda ni mawazo ya watu,kuugua haukana cha ajabu,na hakuna wa kuandamana kiasa kiongozi anaumwa. Sema tu kwenye uongozi mpaka taarifa inatolewa,lazima wakae watu waafikiane. Hivi hivi hawezi kutoa. Sema tu anabaki wa kulaumiwa yeye. Ndo siasa
 
Mhhhhh nilikuwa napuuzia, now this is serious!
Screenshot_20231206_045234_WhatsApp-737x950.jpg

Gazeti la leo.
 
Back
Top Bottom